×

Watu Saba Wauawa Harusini

WATU saba wameuawa kwa mlipuko wa bomu aina ya kombora dogo (grenade) walipokuwa kwenye sherehe ya harusi huko Khartoum, Sudan.

 

Maofisa wa usalama  na wa afya wamethibitisha tukiohilo  na kuongeza kuwa watoto watatu ni miongoni mwa waliouawa.

 

Taarifa zinaeleza kuwa ulizuka ugomvi kati ya watu wawili na mmoja alirusha bomu hilo  lililolipuka na kusababisha vifo hivyo.

Leave a Comment