Waziri Jafo Akiri… Hali Ilikuwa Mbaya – Video Global Publishers January 30, 2020 0 Comments SHARE THIS: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema anasikitishwa na tabia ya watu wanaopeleka taarifa za uongo kwake ili kuwachongea wenzao wafukuzwe kazi au waondolewa kwenye nyadhifa zao. SHARE THIS: