×

Video: Wakenya Wakiaga Mwili Wa Rais Mstaafu Arap Moi

Leo February 8, 2020 Rais Wakenya wanaungana kwa pamoja kumuaga aliyekuwa Rais Mstaafu Daniel Arap Moi aliyefariki Dunia February 4 mwaka huu. Aidha raia wa Kenya watakuwa na siku tatu mfululizo za kuuaga mwili wa mstaafu Moi.

Leave a Comment