Magereza Yasitisha Kutembelea Wafungwa Global Publishers March 19, 2020 0 Comments SHARE THIS: Jeshi la Magereza Tanzania limesitisha huduma za kutembelea wafungwa na mahabusu ikiwamo huduma ya kuwapelekea chakula mahabusu, hadi pale itakavyoelekezwa vingine ili kukabiliana na ugonjwa wa corona. SHARE THIS: