Global Publishers March 19, 2020 4,030 views 0 Comments
SHARE THIS:
Jeshi la Magereza Tanzania limesitisha huduma za kutembelea wafungwa na mahabusu ikiwamo huduma ya kuwapelekea chakula mahabusu, hadi pale itakavyoelekezwa vingine ili kukabiliana na ugonjwa wa corona.