Wagonjwa wa Corona Wafikia 88 Tanzania Global Publishers April 15, 2020 0 Comments SHARE THIS: Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 29 wa COVID-19 nchini. Hadi sasa Tanzania idadi ya Wagonjwa imefikia 88 na wote wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa wataalam afya. SHARE THIS: