×

Kocha: “MORRISON Atacheza DHIDI Ya SIMBA -Video


KOCHA wa Yanga Luc Eyamel amesema kuwa kikosi chake kimejiandaa vyema katika michezo yake miwili dhidi ya Biashara United na Kagera Sugar huku ikimaliza michezo hiyo akili zao zote wataweka katika mchezo wao dhidi ya watani wao wa Jadi Simba

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment