Klabu ya soka ya Yanga leo Agosti 9, 2020 imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Kibwana Ally Shomari kwa mkataba wa miaka miwili.