×

NEC: Rufaa Za Wagombea Ubunge Na Udiwani Leo

Tume ya Taifa Uchaguzi imepitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi rufaa za wagombea Ubunge na Udiwani zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa Wasimamizi mbalimbali wa Uchaguzi nchi nzima.

Leave a Comment