×

Tarimba Alivyopiga Kura Kinondoni – Video


MGOMBEA ubunge (CCM) katika Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba, amepiga kura leo Oktoba 28, 2020,  ambapo amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura ili wachague viongozi wanaowataka.

 

“Nimekamilisha kupiga kura sasa. Tumuombe Mungu hali ya utulivu iendelee kuwa hivi kwa wakati wote,  nina imani tutaibuka na ushindi mkubwa kuanzia ngazi ya rais, ubunge na madiwani wote,” amesema.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment