KATIKA kipindi cha SPOTI HAUSI leo Desemba 10, 2020 mchambuzi wa soka na mhariri wa Gazeti la Championi Jumatano, Philip Nkini, amechambua mechi iliyochezwa jana katika dimba la Mkapa, kati ya Simba dhidi ya Polisi Tanzania, iliyomalizika kwa Polisi kufungwa mabao 2-0 ambayo mabao yote yamefungwa na kiungo, Clatous Chama.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx