×

Mkenya Anayetuhumiwa kwa Ugaidi Apelekwa New York

CHOLO Abdi Abdullah, raia wa #Kenya aliyekamatwa Ufilipino Julai 2019, amekabidhiwa kwa maafisa wa #Marekani akituhumiwa kuwa mshirika wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab na kwa kula njama za kutaka kuteka nyara ndege ya abiria na kuiangusha kwenye jengo moja nchini Marekani.

Pia, anadaiwa kutoa msaada wa vifaa kwa taasisi ya kigaidi ya kigeni na kula njama za kuua raia wa Marekani.

Leave a Comment