Mchezaji Mpya wa Simba Mnigeria Straika Junior Lokosa ametua katika uwanja wa Ndege wa Kimatifa Jumamosi ya January 23, 2021 kuungana na wachezaji wenzake wa Simba huku Klabu hiyo ya Simba ikisubiri Kumtambulisha rasmi katika mitandao yao ya kijamii.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx