×

Rais Samia Akutana na Katibu Mtendaji wa wa AfCTA – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya na  Wamkele Mene  amabye ni Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Afrika (AFCTA) Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Juni 30,2021.

Leave a Comment