
Watu watano wamepoteza maisha katika ajali ya gari eneo la Kasindaga, Biharamulo, Kagera baada ya basi la abiria kugongana uso kwa uso na gari dogo aina ya Corora. RPC Kagera Revocatus Malimi amesema uchunguzi wa awali unaonyesha chanzo ni uzembe wa dereva wa basi.
