×

Rais Samia Ateua Dkt. Bill Kiwia, kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi

Dkt. Bill Kiwia

Rais Samia Sululu Hassan, amemteua Dkt. Bill Kiwia, kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)

Dkt. Kiwia anachukua nafasi ya Abdul-Razaq Badru aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)

Leave a Comment