Msanii wa Bongo Muvi na muziki wa Bongo Fleva, Agness Suleiman @Aggybaby_ amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa watoto waliozaliwa 2000 wana mambo makubwa kuliko watu wazima.