
Klabu ya Simba SC itacheza mashindano ya kimataifa katika kombe la shirikisho Afrika msimu ujao, Afisa Habari wa klabu Ahmed Ally amefunguka leo kuwa watafanya vyema katika maandalizi kuelekea mashindano hayo na kufanya vizuri pia.
Simba SC inatinga katika kombe la shirikisho mara baada ya kumaliza nafasi ya tatu katika ligi kuu Tanzania Bara.