×

Mmiliki wa Timu Ya Alliance FC na Alliance Girls James Bwire Afariki dunia

Mmiliki wa Timu za Alliance FC na Alliance Girls za jijini Mwanza, James Bwire amefariki dunia usiku wa jana, Januari 25, 2025 majira ya saa 4 usiku katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa matibabu.

Swipe kusoma taarifa ya uongozi wa Alliance Sports Academy iliyotolewa leo, Januari 26, 2025.

BABU na BIBI wa MTOTO ALIYETEKWA AKAPATIKANA WAFUNGUKA – ”POLISI WAMELALA BARAZANI KWETU – ASANTE”

Leave a Comment