×

Bosnia Yaiondoa Qatar, Uswizi Yaongoza Kundi B Baada ya Kuifunga Canada

Leo tena viwanja mbalimbali zinaenda kuwaka moto kushuhudia timu zikichuana vikali kupata ushindi. Andaa jamvi lako la ushindi na uberti hapa kwani Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwaajili yako.

Bosnia & Herzegovina dhidi ya Qatar ni mechi ya kibabe za kubashiri ambapo Qatar walikuwa wenyeji wa michuano hii mwaka 2022. Mpaka sasa timu hizi zina pointi moja kwenye moja kwenye mechi zao mbili ambazo wamecheza hadi sasa baada ya kutoa sare mechi moja na kupoteza mechi moja.

Inatarajiwa kuwa mechi ya ushindani mkubwa kwani kila timu inahitaji kwa hali na mali ushindi ili kujiweka angalia kwenye sehemu nzuri ya kucheza hata play offs tuu. Ikumbukwe kuwa ambaye atapoteza mechi hii ndiyo safari yake ya kuendelea kwenye mashindano haya inakufa hapa.

Qatar wanahitaji kuonyesha mabadiliko makubwa baada ya kufanya vibaya dhidi ya Canada. Timu hiyo imekuwa ikisumbuliwa na ukosefu wa nidhamu na kushindwa kutumia nafasi chache wanazozipata.

Bosnia wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa wanapewa nafasi kubwa zaidi ya kuibuka na ushindi kutokana na ubora wa kikosi na uzoefu wa mashindano makubwa. Wewe jamvi lako unaliweka kwa nani siku ya leo?. Suka jamvi hapa na Meridianbet.

Ushindi nje nje kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Wakati hu huo kutakuwa na mechi ya Uswizi dhidi ya Canada ambayo inazikutanisha timu ambazo zina pointi sawa kwenye msimamo wa Kundi B, huku lengo la kila timu likiwa ni kumaliza hatua ya makundi wakiwa nafasi ya kwanza ambapo wenyeji mechi ya kwanza waliambulia sare dhidi ya Qatar wakicheza kwa nidhamu zaidi.

Canada wao kwenye mechi yao ya pili walitoa kichapo kizito kwa Qatar tena bila hata kuruhusu goli kwenye mechi hiyo. Zinakutana timu ambazo zote zina ubora na kwenye viwango vya FIFA, Uswizi wapo nafasi ya 19 huku wapinzani wao wakiwa nafasi ya 30 hadi sasa. Beti mechi hii pale Meridianbet.

Kila timu ina wachezaji wazuri wenye ubora na wa kubadilisha matokeo kwa wakati wowote, kutengeneza nafasi nzuri ambapo timu yenye ufanisi mzuri ndani ya goli ndiyo ambayo inaweza kuondoka na matokeo mazuri.

Canada inapendelea kucheza kwa kasi na kutumia nafasi za kushtukiza, jambo ambalo linaweza kuwasumbua mabeki wa Uswizi. Hata hivyo, udhaifu wao katika kujilinda dhidi ya mashambulizi ya haraka unaweza kuwagharimu ikiwa watapoteza umakini. Odds kubwa zipo kwenye mechi hii. Jisajili na ushinde leo.

Leave a Comment