×

Diamond, Mrembo Siri Nzito!

Diamond-PlatnumzStaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’

Habari: Musa Mateja na Imelda Mtema, AMANI

DAR ES SALAAM: Kuna siri nzito kati ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba Tiffah na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Irene ‘Lynn’ ambapo watu wa karibu wanasema ‘wanatoka’,

12748166_487851264732614_598750759_n

  • Chanzo cha stori
  • Ubuyu unanyetisha kumbe watu hao, Irene amekuwa akishinda kwenye Studio ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond, iliyopo Sinza Mori jijini Dar.
  • “Diamond anampenda sana Irene…..”
  • “Lakini huwezi amini, Irene ni kipenzi sana cha mama Diamond na Esma…. kuna siri nzito hapo.”
  • AMANI STUDIO YA DIAMOND
  • Baada ya taarifa hizo, hivi karibuni Amani lilitua kwenye studio za Wasafi.
  • Wafanyakazi wa studio hiyo wafunguka mengi kuhusu Irene na Diamond.
  • DIAMOND ANASEMAJE?
  • Amani lambana Diamond, aanika kila kitu kuhusu yeye na Irene.
  • AMANILATINGA  NYUMBANI TANDALE
  • Mama Diamond, Sanura Kasim ‘Sandra’ akili kumfahamu Irene, yane aelezea ya moyoni kuhusu Irene.
  • Ukweli wote umo ndani ya Gazeti la Amani.

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA AMANI, LEO April 21, 2016

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave a Comment