Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’
Habari: Musa Mateja na Imelda Mtema, AMANI
DAR ES SALAAM: Kuna siri nzito kati ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba Tiffah na mrembo aliyejulikana kwa jina moja la Irene ‘Lynn’ ambapo watu wa karibu wanasema ‘wanatoka’,
- Chanzo cha stori
- Ubuyu unanyetisha kumbe watu hao, Irene amekuwa akishinda kwenye Studio ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond, iliyopo Sinza Mori jijini Dar.
- “Diamond anampenda sana Irene…..”
- “Lakini huwezi amini, Irene ni kipenzi sana cha mama Diamond na Esma…. kuna siri nzito hapo.”
- AMANI STUDIO YA DIAMOND
- Baada ya taarifa hizo, hivi karibuni Amani lilitua kwenye studio za Wasafi.
- Wafanyakazi wa studio hiyo wafunguka mengi kuhusu Irene na Diamond.
- DIAMOND ANASEMAJE?
- Amani lambana Diamond, aanika kila kitu kuhusu yeye na Irene.
- AMANILATINGA NYUMBANI TANDALE
- Mama Diamond, Sanura Kasim ‘Sandra’ akili kumfahamu Irene, yane aelezea ya moyoni kuhusu Irene.
- Ukweli wote umo ndani ya Gazeti la Amani.
KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA AMANI, LEO April 21, 2016
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz
