BAADA ya kuachana na mumewe, Kwadwo Safo, staa wa filamu Ghollywood, Juliet Ibrahim amefunguka kuwa huenda akaolewa tena mwaka huu.
Akifanyiwa mahojiano na kituo kimoja cha TV nchini Nigeria, Juliet alisema kwa sasa anatarajia kuja na kipindi chake cha maisha halisi kijulikanacho kama The Personal Assistant
(TPA).“Kuhusu kuolewa, bado sijaelewa hatima yangu lakini inawezekana nikaolewa tena mwaka huu,” alisema Juliet
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, DOWNLOAD NA INSTALL APP HII ILIYOPO KWENYE PLAY STORE YAKO==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz
