×

Rais Awaruhusu Raia Kuua Watuhumiwa wa Madawa

philipine

Rais wa Philippines, Rodrigo Duterte amewataka wananchi wenye bunduki nchini humo kuwapiga risasi na kuwaua wafanyabiashara wa Madawa ya Kulevya wanaogoma kukamatwa.

Akiwahutubia wananchi wake, Rodrigo Duterte amesema raia atakayemuona mtuhumiwa wa madawa ya kulevya akigomea amri ya polisi au mamlaka ya usalama inayomtaka kukamatwa au kutiwa nguvuni, basi raia wa kawaida mwenye bunduki ni ruhusa kujichukulia sheria mkononi na kumuadhibu mtu huyo ikiwezekana afikishwe polisi akiwa mzima ama ameuawa.

Zaidi soma==>http://cnn.it/1WBRLt4

Leave a Comment