×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 28, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Rais Samia Amfariji IGP Wambura Baada ya Kifo cha Baba Yake (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP),...

READ MORE

Mauaji Simanjiro: Watuhumiwa 10 Wakamatwa, 7 Wafikishwa Mahakamani

Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limewakamata watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuhusika na makosa ya mauaji yaliyotokea katika Wilaya ya Simanjiro,...

READ MORE

Liverpool, Chelsea Kukutana Anfield, Arsenal Kuwasha na Fleetwood leo

LONDON, ENGLAND — Michuano ya Kombe la Carabao msimu wa 2026/27 inaingia katika hatua ya raundi ya nne kuanzia Jumanne,...

READ MORE

PEMA Dinner Talk 2026: Wanawake, Wanaume Kujadili Afya ya Akili Oktoba 31, Dar -Video

Wanawake na wanaume wanatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam Oktoba 31, 2026, katika jukwaa la PEMA Dinner Talk 2026 kwa...

READ MORE

Harry Kane Avaa Rolex Daytona ya Bilioni 3.54 Kwenye Sherehe za Ballon D’or 2026

Nahodha wa timu ya taifa ya England, Harry Kane, amevutia macho ya mashabiki na wadau wa mitindo baada ya kuonekana...

READ MORE

Roma Kukiwasha Dhidi ya Cagliari, Piga Pesa Leo!

Klabu ya AS Roma itakuwa mwenyeji wa Cagliari katika mchezo wa ligi kuu ya Italia, Serie A, utakaopigwa leo Jumanne,...

READ MORE

Nafasi ya Kazi: Wezesha Mzawa Yahitaji Accountant Mwenye Uzoefu

NAFASI YA KAZI: ACCOUNTANT Kampuni ya Wezesha Mzawa Microfinance Limited inatangaza nafasi ya kazi kwa mhasibu mwenye sifa na uzoefu...

READ MORE

Ndoto Imetimia! Harry Kane Ashinda Ballon D’or, Aingia Kwenye Historia

Nahodha wa England na mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane, ameandika historia baada ya kutwaa tuzo ya Ballon d’Or 2026,...

READ MORE

Kesi za Trump za Uchaguzi Zachochea Mjadala Mkubwa Marekani

Serikali ya Rais wa Marekani, Donald Trump, imekabiliwa na ukosoaji kufuatia hatua ya Wizara ya Sheria ya Marekani (DOJ) kufungua...

READ MORE

Mystery Multiplier Yatoa Tsh Bilioni 3 Kuwaalika Wapenzi Wa Kasino

Wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni wana sababu nyingine ya kufuatilia burudani zao kupitia Meridianbet, baada ya ujio wa kampeni...

READ MORE

DC Bariadi Asitisha Ndoa ya Mwanafunzi wa Kidato cha Nne, Ng’ombe 16 Watajwa – Video

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simarenga, akiambatana na Jeshi la Polisi, amesitisha sherehe ya ndoa ya mwanafunzi wa kidato...

READ MORE

Ulega Asisitiza Umuhimu wa Utawala Bora Kama Nguzo Muhimu ya Kudumisha Amani

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Abdallah Hamis Ulega, amesisitiza kuwa Utawala Bora unahitaji viongozi na watendaji kusikiliza wananchi, kushughulikia...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 27, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Video: Mwigulu Aagiza Hatua Kali Kwa Wanaochukua Sheria Mkononi

Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya wananchi kujichukulia sheria mkononi, huku akiviagiza vyombo...

READ MORE

Nicki Minaj Atajwa Kuchukua Nafasi ya Msemaji wa Ikulu ya Marekani,

Rapa maarufu wa Marekani, Nicki Minaj, amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutajwa kuwa huenda akachukua nafasi ya...

READ MORE

Mshery Aweka Wazi Msimamo wa Yanga Baada ya Kukwama Arusha

Mchezaji wa Yanga, Aboutwaleeb Mshery, leo Oktoba 26, 2026 amesema sare iliyopatikana katika mchezo uliopita jijini Arusha haiwezi kuyumbisha malengo...

READ MORE

Trump Amsifu Nicki Minaj Jukwaani, Kauli Yake Yazua Shangwe Michigan

Rais wa Marekani, Donald Trump, amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutoa kauli kuhusu umbo la rapa maarufu...

READ MORE

Al Nassr dhidi ya Al Wasl, Vita Ya Pointi Tatu Klabu Bingwa

Timu ya Al Nassr ya Saudi Arabia inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Al Wasl ya Falme za Kiarabu (UAE) katika mchezo...

READ MORE

Dladla Atoa Onyo kwa Wachezaji wa Yanga, Asema Wanadaiwa Soka Zuri

Kocha wa muda wa Yanga, Simon Dladla, leo Oktoba 26, 206 amekiri kuwa timu hiyo ina deni kubwa kwa mashabiki...

READ MORE