The House of Favourite Newspapers

Breaking: Matokeo Darasa la Nne Yatangazwa, Yasome Hapa

0

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.

 

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo Alhamisi Januari 9, 2020 na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msonde amesema ufaulu katika mtihani wa upimaji wa darasa la nne umeongezeka kwa asilimia 26.21.

 

Jumla ya watahiniwa 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665, 863 wamepata alama A,B,C na D ikilinganishwa na wanafunzi 1,213, 132 waliofaulu mwaka 2018.

 

KUTAZAMA MATOKEO HAYO LINK ZIPO HAPA CHINI

MATOKEO KIDATO CHA NNE

MATOKEO DARASA LA NNE

MATOKEO KIDATO CHA PILI

 

Leave A Reply