The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Donald Ngoma Asaini Yanga

0

Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Donald Ngoma akiweka dole gumba baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kukipiga Jangwani.

Mshambuliaji wa  Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara msimu ujao.

Ngoma ambaye alikuwa akihusishwa kujiunga wapInzani wa Yanga, Simba kabla ya kuzuka kwa taarifa za kujiunga na klabu ya Polokwane City inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Afrika Kusini (Primiership ABS).

Ngoma alitua hapa nchini jana usiku akitokea nchini kwao ambapo mchana  wa leo amesaini mkataba huo.

Leave A Reply