The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Ngoma Arejea Dar Usiku Huu Akitokea Zimbabwe

1
Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu ya Yanga, Donald Ngoma (kulia) akitokea mapumzikoni na kupokewa na viongozi wake ya Yanga baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku huu.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe anayeichezea klabu ya Yanga, Donald Ngoma usiku huu ametua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius na kupokelewa na makomandoo wa timu ya Yanga.

Pamoja kuwa Klabu ya Simba ilishakiri kwa imefanya mazungumzo na mchezaji huyo kwa ajili ya kumsajili na taarifa za ndani ya klabu hiyzo zinaeleza kuwa wameshakubaliana kila kitu, licha ya kuwa Yanga nao walikuwa wakimshawishi ili asaini mkataba mwingine wa kuendelea kuichezea timu hiyo.

(PICHA: OMARY MDOSE NA SWEETBERT LUKONGE , CHAMPIONI – GPL)

1 Comment
  1. Global Publishers

    […] wa  Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara msimu […]

Leave A Reply