×

Audio Music

G Nako wa Weusi Aachia Video Mpya ya ‘Kula Bia’ – Video

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Weusi, George Sixtus Mdemu, anayejulikana kwa jina la sanaa G Nako, ameachia video ya wimbo...

READ MORE

Wimbo Mpya wa Mapenzi Wazidi Kuwa Gmzo! “I’m Waiting” Watoka Kenya hadi EA

Msanii mwenye sauti ya kipekee kutoka Kenya, Masauti, ameungana na hitmaker wa Afrika Mashariki Otile Brown kuachia wimbo mpya wa...

READ MORE

Zuchu Aachia Video ya ‘Bado Nakupenda’ Wimbo wa Hisia Kali za Mapenzi

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Zuchu, ameachia rasmi video ya wimbo wake wa mapenzi wenye hisia nzito unaoitwa “Bado Nakupenda,”...

READ MORE

Inspector Haroun atoa nyimbo mpya AI na Maisha Ndo Haya, Afunguka Mapaya – Video

Msanii wa Bongo Flava, Inspector Haroun, amesema alimshirikisha msanii Ibraah katika wimbo wake Final Sub kutokana na nidhamu, heshima na...

READ MORE

BASATA Yazuiwa Wimbo wa Roma Mkatoliki “Teremsha Bunduki”

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeuzuia rasmi wimbo wa msanii Ibrahim Mussa, maarufu kama Roma Mkatoliki, unaoitwa “Teremsha Bunduki”,...

READ MORE

Harmonize Aachia Wimbo Mpya “Best Couple” Akimshirikisha Rudeboy

Msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, ameendelea kuonyesha ubunifu na ubora wake katika tasnia ya muziki baada ya...

READ MORE

D Voice feat Zuchu – Baby Mpya (Official Lyric Audio)

Msanii mpya katika label ya WCB, D Voice ameachia wimbo wake wa Baby Mpya amemshirikisha Zuhura Othman almaarufu Zuchu.

READ MORE

PERE – Rayvanny X Marioo X Harmonize (Official Lyric Video)

Sikiliza wimbo mpya wa ‘Pere’ wa supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Rayvanny au Vanny Boy ambao ameshirikiana...

READ MORE

AY Masta Ft Harmonize – Simuoni (Official Audio)

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah ‘AY’ameachia ngoma yake mpya ya ‘Simuoni’ aliyomshirikisha Harmonize

READ MORE

Alikiba feat Nandy – Bailando (Track No.5)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Alikiba feat Jay Melody – Hatari (Track No.4)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Alikiba – Kheri (Track No.3)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Alikiba – Nahodha (Track No.1)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake ‘Starter‘ ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay...

READ MORE

Rayvanny X Harmonize – SENSEMA (Official Lyric Audio)

Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize ametoa wimbo mpya wa ‘Sensema’ akishirikiana na supastaa mwingine wa...

READ MORE

Kontawa Feat Harmonize: Binadamu (Official Audio)

Msanii wa muziki nchini, Abdu Hamid Said maarufu ‘Kontawa’ ameachia wimbo wake mpya wa Binadamu amemshirikisha Mwimbaji maarufu wa Bongo...

READ MORE

Mbosso – Kunguru (Official Audio)

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi maarufu kama Mbosso Mei 18, 2024 ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa...

READ MORE

Harmonize Feat. Marioo – Disconnect (Official Lyrics Audio)

Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize leo Mei 15, 2024 amechia wimbo wake mpya wa Disconnect...

READ MORE

Harmonize Feat. Bobby Shmurda & Bien – I Made It (Lyrics Video)

Msanii wa muziki Bongo Fleva, Harmonize ameachia Audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la I Made It.

READ MORE

Stress Free – Young Killer Msodoki (Official Audio)

Rapa anayefanya poa kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ameachia Audio ya wimbo wake...

READ MORE

Rosa Ree – Mama Omollo (Official Music Audio)

RAPA wa kike Bongo, Rosary Robert Iwole almaarufu Rosa Ree ameachia wimbo wake mpya wa Mama Omollo. CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Harmonize – Dear X (Official Audio)… Upo Hapa, Kajala Atajwa

Mashabiki wa Mkurugenzi mkuu wa lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide Harmonize wamepongeza wimbo wa Dear X, huku wakimtaja...

READ MORE

Diamond Platnumz – Chitaki (Official Audio & Lyric Video)

Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye ni mmiliki wa Lebo ya Wasafi Classic Baby...

READ MORE

Mdundo Music Yaongeza Watumiaji kwa Asilimia 22 Afrika

Nairobi, Februari 02, 2022: Huduma ya utiririshaji wa muziki wa Kiafrika, Mdundo, imetangaza ukuaji kwa asilimia 22 kwa watumiaji wake...

READ MORE

Wasafi, Kiba, Nandy, Stamina Wafunga Mwaka Kwa Kishindo

Mwaka ukiwa unaelekea ukingoni, wasanii wanaofanya vyema katika gemu ya Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Ali Kiba na Stamina, wanatajwa kuwa...

READ MORE

Nandy – Party (feat. Bill Nass & Mr Eazi) [Official Visualizer]

 Msanii Wa Bongo Fleva,Nandy Ft Bell Nass, Ameachia Wimbo Wake Mpya-Party

READ MORE

Ibraah Ft Harmonize – Addiction (Official Audio)

 Msanii wa muziki Bongo Fleva,Ibra Ft  Harmonize ameachia Audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Addiction.. Download...

READ MORE

Maua Sama – Baba Jeni (Official Music)

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva ,Maua sama-ameachia mziki wake mpya wa Baba Jeni.

READ MORE

Harmonize – Always (Official Audio)

 Msanii wa muziki Bongo Fleva, Harmonize ameachia Audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Always.

READ MORE

Ruby -Jela (Official Video)

 Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ruby  ameachia video ya wimbo wake mpya-Jela

READ MORE

Mbosso ft Zuchu – For Your Love (Galagala) Official Audio

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mbosso Ft Zuchu  ameachia wimbo wake mpya wa For Your Love.

READ MORE

Harmonize – Muziki (Official Audio)

 Msanii wa muziki Bongo Fleva, Harmonize ameachia Audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Muziki.

READ MORE

Harmonize – Wishes (Official Audio)

 Msanii wa muziki Bongo Fleva, Harmonize ameachia Audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Wishes

READ MORE

Snura – UMEALIKWA? (Official Audio)

 Msanii wa muziki wa Bongo Fleva  Snura ameachia video ya wimbo wake mpya-Umealikwa.

READ MORE

Rayvanny – One Two (Official Audio)

 Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya- One Two.

READ MORE

Lava Lava – Inatosha (Official Audio)

 Msanii Wa Bongo Fleva,Lava Lava Ameachia Wimbo Wake Mpya-Inatosha.

READ MORE

Nandy & Sho Madjozi – Kunjani (Official Audio)

 Msanii Wa Bongo Fleva,Nandy Ft Sho Madjozi Ameachia Wimbo Wake Mpya-Kunjani.

READ MORE

Diamond Platnumz ft Rema – Gimmie (Official Video)

 Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz  Ft Rema  ameachia wimbo wake mpya wa  Gimmie

READ MORE

Maua Sama – ZAI (Official Video)

 STAA wa muziki wa Bongo Fleva ,Maua sama-ameachia mziki wake mpya wa Zai.   

READ MORE

Spice Diana Ft Zuchu – Upendo (Official Audio)

 Msanii Wa Bongo Fleva,Spice Diana Ft Zuchu Ameachia Wimbo Wake Mpya-Upendo.

READ MORE