×

Burudani
Nusura Wamasai Watule Nyama-Gabo

MWIGIZAJI anayekuja juu katika tasnia ya filamu Bongo, Gabo Zigamba, amesema maisha yake ya uigizaji yamejaa kumbukumbu nyingi, lakini moja kati ya vitu ambavyo hatasahau,

SOMA ZAIDI

AMBER LULU AKIRI KUJICHUBUA

Video queen aliyeikacha fani yake na kuzamia kwenye muziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu amekiri kuwa anajichubua rangi ya ngozi yake na kuwatolea mapovu wanaomsemasema

SOMA ZAIDI

WOLPER AMTOLEA POVU MADEE!

DIVA anayeng’ara kupitia Bongo Muvi, Jacqueline Wolper, amejikuta akimtolea povu staa wa Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ kwa kosa la kutumia katuni ya picha yake

SOMA ZAIDI
Dk Cheni Anusa Kifo!

MWIGIZAJI wa kitambo Bongo, Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’ amenusa kifo baada ya kupata ajali mbaya baada ya gari lake kupasuka tairi la mbele na kuparamia

SOMA ZAIDI

Ukaribu na Bella Umenibeba!

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amefunguka kuwa, ukaribu alionao na staa wa Muziki wa Dansi, Christian Bella ‘Obama’ umembeba kwa kiasi kikubwa.

SOMA ZAIDI