×


Burudani
DUH! HAMISA MOBETO MBISHI AISEE!

“HIVI huyu naye anaimba vitu gani? Wewe hujui kuimba bora utafute kazi nyingine ya kufanya!” Haya ni maneno yaliyozoeleka kwa andagraundi wengi wanaotafuta kutoka kwenye…

SOMA ZAIDI

Kayumba Amfungukia Uwoya

BAADA ya kutamba na Ngoma ya Wasiwasi, msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mshindi wa Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma ‘Kayumba’ amekuja na…

SOMA ZAIDI


KIM AFUNGUKIA UHUSIANO KIMAPENZI

MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ amesema watu wengi watakuwa wanajichanganya sana kwa kutaka kujua uhusiano wake…

SOMA ZAIDI

SUZY: Kwapa Limenipa Madili

BAADA ya kuandamwa mitandaoni kuwa anakera kwa kufuga nywele za kwapani na kuzianika, mtangazaji Suzan Benard ‘Suzy’ amefunguka kuwa kwapa limempa madili.   Akichonga na…

SOMA ZAIDI


MUNA AOTESHWA NDOA MWAKA HUU

MUIGIZAJI wa filamu, Rose Alphonce ‘Muna’ amesema ameoteshwa na anaamini kabisa mwaka huu Mungu, atamletea mumewe kwa sababu hajawahi kumuomba kitu akaacha kumjibu kwa wakati…

SOMA ZAIDI
Kim Kardashian Aanza Masomo ya Sheria

MWANAMITINDO ambaye pia ni Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian ameamua kuingia darasani na kujifunza uanasheria. Tayari mwanamitindo huyo ameshaanza…

SOMA ZAIDI

Ray Afunguka Mrithi Chuchu Hans!

SIKU chache baada ya video inayomuonesha kaka mkubwa Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa na mrembo aliyefahamika kwa jina moja la Sarafina (Fina) kuvuja na kuzua maswali,…

SOMA ZAIDI


KAJALA AITAMANI NDOA TENA!

ANA umbo kubwa lakini linalompendeza na kumwacha na mvuto wake wa kipekee. Staili yoyote ya nywele inamtoa chicha, kwenye mavazi ndiyo kabisaaa, kila anachotupia anatokelezea….

SOMA ZAIDI

40 YA MTOTO WA KIBA USIPIME!

DAR ES SALAAM: KING atabaki kuwa King tu! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia sherehe kubwa ya kutimiza siku arobaini (40) ambayo staa wa Bongo Fleva,…

SOMA ZAIDI


HARMONIZE AMPIGA BAO DIAMOND

MAISHA yanakwenda spidi mno na kutangulia kwenye maisha haya siyo kufika! Hicho ndicho kinachotokea kwa mastaa wawili wakubwa wa Bongo Fleva walio ndani ya Lebo…

SOMA ZAIDI