×

Burudani

Monalisa: Nilianza Uigizaji Nanyonyesha

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Yvonne Cherrie, maarufu kwa jina la Monalisa ni miongoni mwa mastaa wa kike wanaosifika katika fani...

READ MORE

Bashiri na Meridianbet Wiki Hii, Uwe Miongoni Mwa Mabingwa!

Baada ya michezo ya wiki ya kwanza kunako soka barani Ulaya, wiki ya pili hii hapa! Burudani inaendelea wikiendi hii...

READ MORE

Maud Elka feat Alikiba – Songi Songi Remix (Official Audio)

Msanii wa muziki Bongo Fleva, Maud Elka X Alikiba ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Songi...

READ MORE

Lulu Ni Mwanamke Wa Pekee

CEO wa Efm na TvE Bwana Francis Ciza maarufu kama”Majizo” amemwagia sifa kibao mama wa mtoto wake ambaye ni Elizabeth...

READ MORE

Safari ya Kuvutia Ndani ya Circus Fever Deluxe, Meridianbet

Stadi za wacheza sarakasi ikiwa ni sambamba na uwezo wa wanyama, siku zote imekuwa ni safari ya kuvutia kwa wanasarakasi....

READ MORE

Gari Lamponza Nandy, Apewa Makavu Insta!

SHOO inaanza kwa mwalimu wa hesabu wa masanii Nandy kusakwa kwa kutotimiza wajibu wake wa kumfundisha mwanafunzi wake akaelewa.  ...

READ MORE

Whozu X Rayvanny ft.Ntosh Gazi Chawa (Official Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva,Whozu X Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya- Gazi Chawa.

READ MORE

Country Wizzy – Baby (Midnight Session)

STAA wa muziki wa Bongo Fleva ,Country Wizzy-ameachia mziki wake mpya wa Baby.

READ MORE

Fid Q x Lord Eyez Feat. Brooklyn Beauty – Shujaa (Official Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Fid Q X Lord Eyez ameachia vdio ya wimbo wake mpya shujaa.

READ MORE

Filamu ya Idris ‘Slay’ Yaingia Top 10

IMECHUKUA miezi mitatu na wiki kadhaa kabla ya kurejea tena kwa filamu ya Slay aliyoshiriki Mtanzania Idris Sultan kwenye mtandao...

READ MORE

Msimu Mpya, Vibe Jipya Viwanjani, Dakika 90 Kuamua Nani Mbabe!

Ni mwendo wa burudani kila pembe ya ulimwengu. Barani Ulaya, mambo yanazidi kutaradadi ukiwa ni msimu mpya wa 2021/22. Baadhi...

READ MORE

Aunt Amchimba Mkwara Ruby

BADO habari nzito mjini ni patashika nguo kuchanika kati ya mwigizaji wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na mwanamama anayekiwsha kunako...

READ MORE

Harmo; Visasi Siyo Sehemu ya Maisha

KONDE Boy Mjeshi kunako Bongo Flevani, Rajabu Abdul au Harmonize anasema kuwa, kulipa visasi kwa maadui zake siyo sehemu ya...

READ MORE

Mwanafyale Apigwa KO, Kabongo, Migwede Wafanya Maajabu (Picha +Video)

    BONDIA Danny Mwanafyale usiku wa kuamkia leo Agosti 15, 2021 ameshindwa kuonyesha uwezo wake mbele Joseph Mchapeni baada...

READ MORE

Ndoa ya Paula na Rayvanny Yakataliwa Mtandaoni

BIG no! Moja kati ya stori zilizotikisa kwa sasa ni tangazo la ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa...

READ MORE

Kajala Awachana Wanaoingilia Maisha Yake

MUIGIZAJI wa Bongo Movie, Kajala Masanja amefunguka na kusema kuwa amechoka na tabia za watu kuendelea kufuatilia maisha yake binafsi....

READ MORE

Ben Pol Mwanaume Kuomba Talaka si Dhambi

Msanii wa Bongofleva, Ben Pol ambaye hivi karibuni alimwagana na mkewe Anerlisa amesema alitamani kuwanasa watu waliokuwa wakimkejeli kutokana na...

READ MORE

Rasmi: Messi ni Mali ya PSG, Akabidhiwa Jezi Namba 30

Rasmi aliyekuwa nahodha wa timu ya Barcelona,   Lionel Messi sasa ni mali ya PSG ya Ufaransa. Nyota huyo ambaye amedumu...

READ MORE

Mastaa Kumi wanaomiliki Ndege Binafsi (PRIVATE JET)

Kibongo bongo staa akimiliki gari la kifahari basi anajiona ameshafanikiwa sana kimaisha lakini je, unajua kuwa kuna mastaa duniani wanaomiliki...

READ MORE

Diamond Kwenye Billboard Tena

KWA mara nyingine, supastaa wa muziki barani Afrika, Nassib Abdul al-maarufu Diamond Platnumz ameonekana kwenye makala iliyopakiwa katika Mtandao wa...

READ MORE

Nandy Siri Yake ya Ghana Yafichuka

WIKI iliyopita sexy lady kwenye tasnia ya Bongo Fleva, Faustina Charles au Nandy alisafiri kuelekea nchini Ghana ambapo safari hiyo...

READ MORE

Prodyuza Mmarekani Kumchezesha Filamu na Ally Kiba

Prudyuza maarufu kutoka nchini Marekani,Tameko Tarnez ambaye amewahi kufanya kazi na marehemu, Michael Jackson, Bob Marley na wasanii mbalimbali,amekuja nchini...

READ MORE

Olimpiki Na Ngao Ya Hisani Kukupa Ushindi Mnono

Wakati mashindano ya Tokyo Olimpiki 2020 yakielekea ukingoni, baadhi ya Ligi Soka barani Ulaya kuanza kutimua vumbi wikiendi hii na...

READ MORE

Makambo: Nimekuja Kuchukua Makombe

“NIMEKUJA kufanya kazi.” ndilo neno pekee ambalo amelisema mshambuliaji mpya wa Klabu ya Yanga, Heritier Makambo tena kwa msisitizo mkubwa,...

READ MORE

Jabulant: Kutoka Uchoraji, Harmonize Akaniokoa, Kamera Ikanipeleka Ulaya..

Funzo kubwa analowapa vijana wenzake ni kuamini na kuweka juhudi katika unachokifanya bila kujali unakutana na changamoto kiasi gani! Huyu...

READ MORE

Mrembo Afa akifanya Mapenzi kwenye Gari

Jeshi la polisi nchini Brazil, linaendelea kufuatilia tukio la mrembo Gabrielly Dickson binti mwenye umri wa miaka 15, kufariki akiwa...

READ MORE

Mastaa Wasiotaka Pesa Za Wanaume Wapo Hapa

Hakuna kitu kizuri duniani kama kuwa na vya kwako. Ninamaanisha uwe na kazi au biashara yako ambayo mwisho wa siku...

READ MORE

Diamond Kupiga Bilioni 1.78 Marekani

Staa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz anatarajia kuanza ziara ya kimuziki nchini Marekani ambapo atafanya shoo 11 kuanzia Oktoba...

READ MORE

Rayvanny, Paula Wala Kiapo Cha Kifo

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa au Rayvanny na mpenzi wake mpya, Paula Paul au Paula Kajala, hawapoi; kila kukicha...

READ MORE

Mafia Hushpuppi Kwenda Jela Miaka 20

Mwamba anayetajwa kuwa ni Mafia namba moja nchini Nigeria kwa kuiba pesa mitandaoni, Ramon Abbas almaarufu Ray Hushpuppi amekiri kuwa...

READ MORE

Rasmi Tanasha Apata Mrithi wa Diamond

BAADA ya kuachana na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, maisha ya Tanasha Donna ya kimapenzi hayajakuwa kwenye mitandao ya...

READ MORE

Serikali Yavunja Ukimiya Magari Matatu Ya Diamond

MAMLAKA ya Mapato Tanzania – TRA imevunja ukimya kuhusu gharama za magari ya kifahari ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

PSG Ataanzaje Msimu Baada ya Kuukosa Ubingwa?

Baada ya mapumziko ya takribani miezi miwili, hatimaye vilabu vipo tayari kuanza kurejea dimbani, na wikiendi hii mambo yatakuwa moto...

READ MORE

Michezo Ya Olympics Olympics Imefikia Patamu!

Michuano ya Olympics bado inaendelea kutupa burudani katika viwanja vya jiji la Tokyo. Soka la wanawake na wanaume U23 linaendelea...

READ MORE

Alikiba feat Mayorkun – Jealous (Official Audio)

 MSANII wa muziki Bongo, Alikiba Julai 22, 2021 ameachia wimbo na mkali wa muziki kutoka Nigeria Mayorkun. Wimbo unaitwa...

READ MORE

Mapito Ya Lulu Yamebeba Funzo Kubwa

Siyo stori kwamba supastaa kiwango kabisa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael au Lulu amejaaliwa mtoto wa kiume wikiendi iliyopita.  ...

READ MORE

Kajala Atema Nyongo Kwa Wanaomsema Mitandaoni!

SUPASTAA mwenye mvuto kunako Bongo Movies, Kajala Masanja au Mama Paula ametema nyongo laivu.Kajala amesema kuwa, baadhi ya watu wanapoamua...

READ MORE

Meninah Matatani Kifo Cha Mumewe

MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Menina Attick ‘Meninah’, ameingia kwenye mkasa na utata mzito baada ya kifo cha mumewe...

READ MORE