×

Burudani

Kajala, Harmo Penzi Lao Gumzo Mjini

UNAWEZA ukasema gari kwa sasa limewaka! Mwanamama Kajala Masanja na mpenzi wake Rajabu Abdul ‘Harmonize’ wamezidi kuoneshana mahaba niue laivu...

READ MORE

Mbosso Kuanzisha Lebo Yake Wasafi, Afunguka

BADO upepo unazidi kutikisa ndani ya lebo kubwa ya muziki wa Bongo Fleva, Wasafi Classic Baby (WCB), baada ya Raymond...

READ MORE

Cheza Sloti Mpya Inayopatikana Kwenye Kasino Ya Meridianbet Pekee!

Matumizi ya mfumo wa mwituni ni miongoni mwa vitu vinavyovutia kwa watengenezaji was loti. Studio mpya iliyojiunga kwenye mfumo huo...

READ MORE

Mtihani Mzito Penzi La Kajala, Harmo

Unawezakuwa mtihani wa kwanza kabisa kwenye mahusiano yao kama habari zilizolifikia gazeti hili zikiwa na ukweli wa asilimia mia. Taarifa...

READ MORE

Siri ya rayvanny Kumwangukia Kajala Yafichuka!

BAADA ya staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ kumuangukia muigizaji Kajala Masanja kumuomba radhi, siri iliyopo nyuma ya pazia...

READ MORE

Lulu Diva Akiri Kuporwa Gari

Sexy lady wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amekiri kuporwa lile gari la bei mbaya aina ya Jeep. IJUMAA...

READ MORE

Careen: Mwanamme Kumpa Pesa Mwanamke Si Kuhonga

  BABY mama wa msanii Barakah The Prince ambaye ni Video Vixen, Careen Simba, amesema ni jukumu la mwanamme kumpa...

READ MORE

Baada Ya Nandy Atua Rasmi Kwa Mondi

GOOD news kwa mashabiki wa burudani ni kwamba, baada ya mtoto mzuri Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ kufanya kazi na mwanamuziki...

READ MORE

Sarah Amrusha Roho Harmo, Anunua Ferrari Mpya

SARAH Michelotti, aliyekuwa mke wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, amemrusha rohoo laivu jamaa huyo kwa kujinunulia gari...

READ MORE

Zuchu Afanyiwa Dua Usiku na Baba Yake

SIKU zote damu ni nzito kuliko maji! Hicho ndicho kinachotokea kwa baba mzazi wa msanii mkali wa kike wa Bongo...

READ MORE

Penzi la Mobeto na Fred Lafunika Harmo, Kajala

UNAAMBIWA moto wa penzi jipya la mwanamama Hamisa Mobeto na mfanyabiashara maarufu Bongo, Fred Vunjabei limelifunika vibaya lile la Rajab...

READ MORE

Msami: Diamond Ananiogopa!

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Msami amesema msanii mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’ anamuogopa ndio maana hampi nafasi kwenye matamasha...

READ MORE

Video: Wapiga Chabo Wakithiri, Madirisha Yazibwa, Wenyeji Waeleza

 KATIKA Hali ya Kushangaza, wakazi wa Zanzibar wameeleza namna wapiga chabo wanavyosumbua mtaani hadi kufikia watu kuziba madirisha yao.....

READ MORE

Vigogo Wazima Skendo ya Paula, Rayvanny

KUNA msemo wa kimila usemao: “Tembo wakianguka huinuana.” Hiki ndicho kinachoonekana kwenye skendo inayomhusu msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa...

READ MORE

Manchester Derby Kitawaka Etihad Kesho Jumapili

Wikiendi ya kwanza ya mwezi wa tatu kuanza kwa burudani ya kibingwa kwenye soka la Ulaya. La Liga, Bundesliga na...

READ MORE

Tengeneza Faida Kupitia Kasino Yenye Odd Bora Na Bonasi Kubwa!

Meridianbet Inakupatia Fursa Ya Kutengeneza Pesa Kila Unapojiunga na Kubashiri Nasi! Je, Umejiunga na Meridianbet? Unajua kwamba Meridianbet wanakupa ofa...

READ MORE

Rayvann Amuomba Msamaha Kajala

  MSANII Raymond Shaban Mwakyusa aka Rayvanny aliye chini ya label ya Wasafi Classic Baby (WCB) kupitia ukurasa wake wa...

READ MORE

Neymar Ajinasia Kidege Emilia Wa Argentina

NYOTA anayesakata kabumbu katika klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya nchini Ufaransa, Neymar da Silva Santos Júnior ‘Neymar’ (28), amepata...

READ MORE

Mobeto Agonga Mwamba Kumshitaki Kajala

LITIKISA kiberiti! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa wa Bongo Fleva na Mwanamitindo Hamisa Mobeto kushindwa kutimiza azma yake ya kumburuza...

READ MORE

Kolabo ya Kiba na Mondi Yanukia

Kuna vitu ambavyo ni nadra mno kusikia na kuamini kama siku moja vitatokea hasa kwa wasanii wa Bongo Fleva ambao...

READ MORE

Utata Waibuka Mimba Amber Lulu

Utata mzito umeibuka juu ya mimba aliyobeba msanii wa bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ ambapo swali la msingi la...

READ MORE

Harmonize: Kajala Ana Damu Yangu Kwenye Moyo Wake

IJUMAA SHOWBIZ inatambua jinsi muziki wa Bongo Fleva unavyozidi kukua na kutanua mbawa kadiri siku zinavyokwenda.   Kuna wadau wengi...

READ MORE

Harmo: Kajala Akiniacha Naweza Kujiua

UNAAMBIWAstaa anayefanya poa kwa sasa kunako Bongo Fleva, Rajab Abdul almaarufu Harmonize au Konde Boy, amenyoosha maelezo kwa mpenzi wake...

READ MORE

Mama Dangote Ampigia Saluti Zari

MAMA mzaa chema wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika kutoka nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Mama...

READ MORE

Gladness Kifaluka Ajipa Umalkia

KOMEDIANI matata wa kike Bongo, Gladness Kifaluka ‘Pili Kitimtim’ anasema kuwa kwa wasanii wa kike wa uchekehaji Bongo, yeye ndiye...

READ MORE

Mashabiki Wamvaa Mondi

  UKIMYA wa supastaa wa muziki anayefanya vizuri zaidi barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, umemponza na kumfanya ashambuliwe na...

READ MORE

Papii Kocha Afunguka Kurudi Kivingine Kwenye Muziki

PAPII Kocha ni mtoto wa nguli wa muziki wa Dansi nchini; Nguza Viking au Babu Seya na amerejea mtaani na...

READ MORE

JPM Aomba Ngoma ya Stamina Ft. Prof. Jay – Video

RAIS John Magufuli, ameufagilia na kuomba apigiwe wimbo ulioimbwa na Professor Jay na Stamina, wenye ujumbe unaomsema baba aliyeshindwa kutimiza...

READ MORE

Harmonize, Kajala Walivyoibuka Hafla ya CRDB Bank – Video

STAA wa Bongo Fleva na Balozi wa Benki ya CRDB, Harmonize, usiku wa kuamkia leo Frbruari 25, 2021 amefika katika ...

READ MORE

Harmonize: Mwana Kulitafuta, Mwana Kulipata

MWANA kulitafuta, mwana kulipata! Ndiyo kauli inayomfaa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ Harmonize ambaye ametoa hoja ambayo imekutana...

READ MORE

Makazi Ya Wema Mbagala Yashtua!

SUPASTAA wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ hivi karibuni amezua taharuki baada ya makazi yake yaliyopo Mbagala-Kijichi jijini Dar,...

READ MORE

Mwasiti Amvulia Kofia Nandy

MSANII mkongwe kunako anga la muziki mtamu wa Bongo Fleva, Mwasiti Almasi ‘Kipepeo Mweusi’ amemvulia kofia msanii mwenzake, Faustina Charles...

READ MORE

Poshy Aanika Ukweli Kumfumania Mumewe

MWANAMAMA mjasiriamali mwenye umbo matata ambaye ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii Bongo, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’, ameanika ukweli juu...

READ MORE

Kala: Ashangaa Ndoa Yake Kideoni Kushtua Wengi

KALA Jeremiah ni zao la Shindano la Kuibua Vipaji la Bongo Star Search mwaka 2007 ambalo huandaliwa na Kampuni ya...

READ MORE

Barcelona Kukiwasha Na PSG Leo Ligi Ya Mabingwa

Ligi ya Mabingwa inarejea Jumanne hii hatua ya 16 Bora, Barcelona anaialika Paris Saint German. Kupitia Meridianbet Barcelona amepewa Odds...

READ MORE

Zari Ampa Jina Jipya Mwanaume Wake Siku ya Wapendanao

HISTORIA inaonesha kwamba, msimu wa Siku ya Wapendanao (Valentin’es Day), mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, huwa hakosi jambo...

READ MORE

Hatimaye Anjella wa Harmonize Apelekwa Mjini

MSANII wa Bongo Fleva, Harmonize, amesherehekea siku ya Valentines kwa kuachia ngoma yake mpya #AllNight aliyomshirikisha msanii chipukizi, Anjella.  ...

READ MORE

Odd One Out Kutoka Expanse Studio Kupitia Meridianbet Pekee

Sloti mpya kutoka Expanse Studio imepewa jina la Odd One Out, ni mchanganyiko wa mchezo wa zamani na mpya. Ingia...

READ MORE

Koffi Olomide: Nitaendelea Kuwa Karibu Na Watanzania

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na mwanamuziki galacha duniani katika...

READ MORE

Hemedy PhD: Sijichubui, Napaka Poda

MWIGIZAJI wa filamu na msanii wa Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘Hemedy PhD’ amewafunga midomo baadhi ya watu wanaomsema kwamba anapaka...

READ MORE