×

Celebrities

Jokate: 2018 Ni ndoa na Familia Pia

MWANAMITINDO ambaye ni kada wa CCM, Jokate Mwegelo baada ya kuanika kuwa mwaka huu ni sahihi kuingia kwenye maisha ya...

READ MORE

UGANDA: PICHA ZA MSIBA WA MWANAMUZIKI RADIO

KUFUATIA kifo cha mwanamuziki nyota nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzery Radio, kufariki dunia, hapa nimekuwekea baadhi za picha...

READ MORE

Baba Diamond: Nikifa Mwanangu Asiguse Jeneza Langu!

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya msanii wa Bongo Fleva, Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’ kumchana baba yake mzazi ambaye...

READ MORE

Watoto wa Marais Wenye Ushawishi Duniani

WENGI wamezoea kuwaona mabinti wa marais kwa mtazamo tofauti kwamba ni watoto wenye kudeka, kutokujituma kwa sababu wazazi wao wamefikia...

READ MORE

Shilole Ataka Kuchoma Gauni, Kisa… Bofya Hapa

Mwanamuziki wa wa miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema gauni alilovaa kwenye uzinduzi wa kumtambulisha mwanamuziki Maromboso ‘Mbosso’ uliofanyika...

READ MORE

Kapteni Komba Amuombea Lulu!

    MAZUNGUMZO katika kolamu hii ni ya kiburudani si halisi, yameongezewa nakshi na mwandishi ili kuburudisha, ungana ndani yake...

READ MORE

Shilole Ampiga Stop Dada wa Kazi kwa Uchebe

STAA wa filamu na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema kuwa tangu amekuwa mke halali wa Ashraf Uchebe, haruhusu dada...

READ MORE

Lulu Diva arudisha mahari

MWANAMUZIKI wa kike anayekuja kwa kasi Bongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amerejesha kwa mikono yake mwenyewe mahari aliyokuwa ametolewa na...

READ MORE

Mwana FA: Sijawahi Kuvaa Visuruali vya Kubana

MKONGWE kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Hamisi Mwinjuma, ‘MwanaFA’ amesema, katika maisha yake ya kisanii, hajawahi kuvaa suruali za kubana...

READ MORE

PAPII KUACHIA NGOMA MFULULIZO

MKALI wa Dansi Bongo, Johnson Nguza ‘Papii’ amesema kuanzia mwezi huu wa Februari, ataanza kuachia ngoma mfululizo kwani tayari wameshaanza...

READ MORE

EXCLUSIVE: KINJE Afungukia ‘Video’ Zake za Mahaba na Tunda – Video

KUFUATIA video chafu ya mtoto wa mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Kinjekitile maarufu kama Kinje kusambaa mitandaoni wakipigana denda...

READ MORE

EXCLUSIVE: KINJE AFUNGUKIA ‘VIDEO’ ZAKE ZA MAHABA NA TUNDA – VIDEO

KUFUATIA video chafu ya mtoto wa mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Kinjekitile maarufu kama Kinje kusambaa mitandaoni wakipigana denda...

READ MORE

Madee afungukia bifu lake na Roma

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hitmaker wa Ngoma ya Sema, Hamadi Ally ‘Madee’ hatimaye amefungukia kile kinachodaiwa kuwa...

READ MORE

Wema, Tunda, Mobeto Wanavyozungukana!

  DAR ES SALAAM: Mambo ni moto! Habari ya mjini inayotrendi ni kitendo cha staa wa sinema za Kibongo, Wema...

READ MORE

Barnaba Ataja Kinachomuingizia Mkwanja Mrefu

STAA wa Bongo Fleva mwenye sauti ya kipekee, Elias Barnaba amesema kuwa kitendo cha kuwatungia mastaa ngoma zao hasa wa...

READ MORE

Aunt, Iyobo na Tunda Kimenuka, Watupiana Matusi si ya Nchi Hii

VIDEO vixen asiyeishiwa stori kwenye mitandao ya kijamii, Tunda ameingia kwenye bifu la aina yake na Aunty Ezekiel na mpenzi...

READ MORE

 Ebitoke: Ben Pol Amenipotezea

MCHEKESHAJI, Anna Exavery ‘Ebitoke’ amefunguka kuwa hajawahi kuachana na msanii, Ben Pol isipokuwa aliona jamaa kama amempotezea hivyo akaamua kujiweka...

READ MORE

MUNA LOVE AWATAKA WENZAKE WAOKOKE

MSANII wa Filamu za Bongo na mdau wa Muziki wa Bongo Fleva, Rose Alphonce ‘Muna Love’ ambaye aliamua kuokoka baada...

READ MORE

Hakuna Anayemuweza Dude Zaidi ya Mkewe

KIDUME wa Bongo Movies, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amenyoosha sentensi kuwa, hakuna mwanamke anayemuweza kuishi naye zaidi ya mkewe, Eva kwani...

READ MORE

WEMA: DIAMOND AMENIPIGIA SIMU, AKANIOMBA NIKAMKUBALIA

MSANII wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa alipigiwa simu na X wake ambaye ni Diamond Platinumz akimuomba afike Hyatt...

READ MORE

Dakika 6 za Diamond na Maromboso Wakikamua Live…. Noma! – Video

  MKALI wa bongo Fleva, Diamond Platonumz usiku wa kuamkia leo alifanya makamuzi ya aina yake pale Hyatt Regency Hotel...

READ MORE

Mastaa Walitikisa Red Carpet Grammy Awards

Hapa nimekuwekea picha za wasanii walioibuka kwenye red carpet wakati wa hafla ya utoaji Tuzo za Muziki za Kimataifa za...

READ MORE

Picha za Matukio Wakati wa Grammy Awards 2018

NI usiku wa mastaa, ni usiku wa muziki na usiku wa wapenda burudani! Zile tuzo kubwa za dunia Grammy Awards...

READ MORE

EXCLUSIVE: Diamond Avunja Ukimya Kuhusu Mimba ya Tunda – Video

  HATIMAYE msanii kutoka industry ya Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za kumapachika uzauzito Video Vixen wa...

READ MORE

Matukio kwa Picha na Video Utambulisho wa Mbosso WCB

  BURUDANI ya aina yake imepigwa na wasanii wa Lebo ya WCB usiku wa kuamikia leo wakati kumtambulisha msanii mpya...

READ MORE

Orodha Nzima ya Washindi wa Tuzo za Grammy 2018 Usiku wa Kuamkia Leo

Hapa nimekuwekea orodha ya wasanii wote walioibuka washindi katika vipengele mbalimbali vya Tuzo za Muziki za Kimataifa za Grammy usiku...

READ MORE

Mama Aanika Siri ya Kanumba na Nabii Tito

  BAADA ya picha kusambaa za aliyekuwa staa wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba akiwa na Nabii Tito ambaye kwa...

READ MORE

Nandy aanika siri za Aslay!

KAMA ni mpenzi wa Muziki wa Taarab kwa muda mrefu ni wazi utakuwa umezisikia nyimbo nyingi za muziki huo kutoka...

READ MORE

Amanda Adaiwa Kufichwa na Bwana Uingereza

STAA wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ baada ya kupotea Bongo kwa muda wa miezi miwili sasa, inadaiwa amepelekwa Uingereza na...

READ MORE

Aunt Lulu Ampa Papii Ofa ya Penzi

MWANADADA aliyewahi kuwa mtangazaji ambaye haishiwi na matukio, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amesema kuwa yupo tayari kumpa ofa ya mapenzi...

READ MORE

Chuchu Ataja Anachotaka Ray

BAADA ya kumzalia mtoto wa kiume na kuwa gumzo mitandaoni, muigizaji mkongwe wa filamu Bongo, Chuchu Hans amefungukia zawadi aitakayo...

READ MORE

Nisha Abadili ‘Gia Angani’

KUTOKANA na kile alichosema amechoshwa kuibiwa wanaume wake anaokuwa nao kwenye uhusiano, staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’...

READ MORE

Penny: Sijaolewa, Nafasi Ipo Wazi!

MTANGAZAJI wa kipindi cha Harusini kinachorushwa kupitia Magic Swahili, Pennieli Mungwila ‘Penny’ amefungukia vazi la harusi alilovaa na kuwaacha watu...

READ MORE

Kadja Amtibua Tena Nama Yake

MREMBO wa Bongo Fleva, Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ ambaye aliingia kwenye bifu zito na mama yake baada ya kubadili dini...

READ MORE

Chuchu Afungukia Kumtoboa Sikio Mtoto

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Chuchu Hans amefungukia madai ya kumtoboa sikio mtoto wao wa kiume Jaden mwenye umri wa...

READ MORE

Iyobo Afunguka Ishu ya Aunt Kumnyima Penzi!

DANSA maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie...

READ MORE

 Dansi Mmepewa Lifti na Babu Seya, Papii, Pigeni honi!

MUZIKI wa Dansi Bongo ulikuwa na nafasi kubwa sana, miaka sita iliyopita. Ulikuwa unapigwa kwenye kumbi mbalimbali za starehe, mashabiki...

READ MORE

Malaika Akiri Kufeli katika Hili

MWIMBAJI anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’, amefunguka kuwa, udhaifu wake mkubwa kwenye maisha ni kusimama...

READ MORE

Nabii Tito Alivyokutana na Kanumba

KAMA ulikuwa hufahamu, basi nakujuza kuwa Onesmo Machibya anayejiita Nabii Tito aliwahi kukutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa nyota wa...

READ MORE

Pretty Kind Alia Maisha Magumu

BAADA ya kufungiwa kufanya sanaa kwa miezi sita na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kutokana...

READ MORE