×

Celebrities

Jina la Harmonize Lafutwa Kwenye Utambulisho wa Mtoto Wake

Ni headlines za mwanamuziki Harmonize ambae leo hii jina lake maarufu kama ‘Konde’ limeondolewa katika utambulisho wa mtoto wake wa...

READ MORE

Ruby Afunguka Kurudiana na Kusah

MSANII wa Bongo Fleva, Ruby amesema suala la yeye kurudiana na mpenzi wake wa zamani, Kusah ambaye kwa sasa yupo...

READ MORE

Nai: Wanaume Acheni Ubabaifu

VIDEO Vixen ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleca, Nairath Ramadhan almaadufu Official Nai anawataka baadhi ya wanaume Bongo kuacha...

READ MORE

Marioo ni Mkali Kuliko Diamond, Ali Kiba Wala Harmonize

MWAKA 2021 umeenda vizuri sana kwa upande wa Marioo, kwa ngoma kali alizotoa Inatosha kusema kwamba Marioo ndio muimbaji bora...

READ MORE

Chameleone Afunguka Ugonjwa Unaomtesa, Amtaja Mr. Nice – Video

Wanamuziki wa muda mrefu Chameleone kutoka nchini Uganda na Mr Nice kutoka Tanzania, wamezungumza na waandishi wa habari nchini Congo,...

READ MORE

Mwijaku Ashindwa Kujizuia, Ammwagia Misifa Mondi

Mtangazaji na mwanamitandao maarufu kama DC wa insta Mwijaku ameshindwa kujizuia kusifia video mpya ya mwanamuziki Diamond Platnumz ‘Unachezaje iliyotoka...

READ MORE

Rapa Cassper Nyovest Ashinda Pambano la Ngumi

RAPA maarufu nchini Afrika Kusini, Cassper Nyovest ameshinda pambano la ngumi aliloandaa kati yake na shabiki ambaye amekuwa akimkosoa na...

READ MORE

Shaa na Master Jay Kinazidi Kuumana

MWANAMAMA wa kitambo kunako Bongo Fleva, Shaa, kupitia ukurasa wake wa Instagram amemtaka mzazi mwenzake, Producer Master J akamuone mtoto...

READ MORE

Malkia Karen Avunja Ukimya

MALKIA Karen ni msanii mwingine mkali wa kike kunako Bongo Fleva ambaye ambaye ameibua gumzo hivi karibuni baada ya kudaiwa...

READ MORE

Ruby: Babu Tale ni Kaka’ngu

MWANAMAMA mkali kunako anga la muziki mtamu wa Bongo Fleva, Hellen George Majeshi amefunguka ukaribu wake na mmoja wa mameneja...

READ MORE

Majibu ya Esma Kuhusu Diamond Kumuoa Zuchu

BAADA ya kuwepo kwa tetesi nyingi mitandaoni juu ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuwa mbioni kumuoa Zuchu, dada...

READ MORE

Wolper: Mume Wangu Sio Chawa

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper anasema kuwa, kitendo cha yeye na mumewe, Rich Mitindo kusapoti biashara za watu wengine...

READ MORE

Mbosso: Nina Muda Mrefu Sijawasiliana na Aslay

MKALI wa Bongo Fleva mwenye kupendelea mahadhi ya pwani, Mbosso amefunguka kuhusu uhusiano wake na wasanii waliokuwa wenzake kunako yamoto...

READ MORE

Nay wa Mitego: Wananchi Wangenipa Tuzo

RAPA maarufu Bongo anayetamba na ngoma yake mpya ya ‘Hunijui‘ ambayo ameiachia siku kadhaa zilizopita, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’...

READ MORE

Mke wa Bobi Wine Ahitimu Masters, Mumewe Amfanyia Sapraizi

  Mwanamuziki na mwanasiasa maarufu kutoka nchini Uganda Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu Bobi Wine, amemuandalia mke wake Barbie Itungo hafla...

READ MORE

Funga Mwaka 2021… Jini Mkata Kamba

 BILA kupepesa kuna watu wengi hususan wale ambao ni mashabiki kindakindaki wa mastaa Bongo ambao mara nyingi wamekuwa wakiumizwa...

READ MORE

Uwoya: Nina Miaka 33 tu

KAMA ilivyo kwa baadhi ya mastaa wengine wa kike Bongo kusababisha utata juu ya umri wao, mwigizaji Irene Uwoya naye...

READ MORE

Koffi afunguka unyanyasaji wanawake kingono

PAMOJA na Mahakama ya Rufaa nchini Ufaransa kumuondolea mwanamuziki Koffi Olomide wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kosa la unyanayasaji...

READ MORE

Rayvanny Amtisha Hadi Diamond

MWANZONI msanii Rayvanny alikuwa akifanya muziki wa rap kabla ya kuanza kuimba. Mwaka 2011 aliibuka mshindi katika mashindano ya free...

READ MORE

Kill Paul: Wazee Walisema Nimepoteza Akili

Kijana wa kimasai kutoka Tanzania Kili Paul amejizoelea umaarufu katika mtandao wa TikTok baada ya kutumia mtindo wa kufuatisha mashairi...

READ MORE

Jay Z: Hakuna wa Kushindana na Mimi

Kupitia Twitter Space wakiwa live kwenye group la mazungumzo na mwanamuziki Alicia Keys wakati akisherehekea mafanikio ya albamu yake mpya...

READ MORE

Diamond Amnunulia Ndinga Dansa Wake

STAA wa muziki barani Africa Simba 🦁 @Diamondplatnumz 🇹🇿amemnunulia gari dancer wake @hbaajuni ambaye amekuwa akifanya naye kazi kwa muda...

READ MORE

50 Cent Atangaza Kuacha Muziki

Rapa mkongwe na mwigizaji wa nchini Marekani, 50 Cent kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram  ameweka wazi nia yake...

READ MORE

Zari The Boss Lady Ashinda Tuzo Mbili

MJARISIAMALI kutoka Uganda mwenye makazi yake huko nchini Afrika ya Kusini Zarinah Hassan maarufu ‘Zari the boss lady” ameshinda tuzo...

READ MORE

Kauli Aliyoambiwa Lulu Diva na Mama Yake Mzazi

Lulu Diva anasema mama yake alikuwa anampa sapoti kubwa kwenye mambo anayoyafanya pia alikuwa anatamani kufanya vitu vingi lakini hali...

READ MORE

Mastaa Afrika Mashariki watesa Kampeni ya Mali Safi Apple Music

MASTAA wa muziki katika Afrika Mashariki wamezindua kampeni inayokwenda kwa jina la Mali Safi inayoendeshwa na Kampuni ya Apple Music....

READ MORE

Nandy Afunga Mwaka Kibabe

MALKIA wa Bongo Fleva Afrika Mashariki na Kati, Faustina Charles almaarufu Nandy amefunga mwaka 2021 kibabe kwa mafanikio makubwa. Hii...

READ MORE

Marioo: Mwaka 2022 Tuzo Zitakuwa Za Kutoshaza

MUZIKI ni ajira, lakini pia ni biashara kubwa ndiyo maana nchini Nigeria wanaichukulia serious tofauti nawengi wanavyoiona!   Kila mwaka...

READ MORE

Uhasama wa Harmonize na Diamond Wafika Pabaya

MSANII Harmonize au Harmo aliachana na Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) miaka miwili iliyopita na kuibua uhasama, lakini mwaka...

READ MORE

Wasafi, Kiba, Nandy, Stamina Wafunga Mwaka Kwa Kishindo

Mwaka ukiwa unaelekea ukingoni, wasanii wanaofanya vyema katika gemu ya Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Ali Kiba na Stamina, wanatajwa kuwa...

READ MORE

Rais Samia Apewa Tuzo Ya Heshima Kwa kuendeleza Tasnia ya Filamu

Tuzo za Filamu Tanzania zimefanyika Disemba 18, 2021 katika ukumbi wa Tughimbe mkoani Mbeya chini ya Usimamizi wa Bodi ya...

READ MORE

Malkia Karen Anataka Watoto Wanne

Masuala ya uzazi yameonekana kumnogea msanii @malkiakaren baada ya kuweka wazi kutamani kupata watoto wanne pekee kwenye maisha yake. Malkia Karen ameshea...

READ MORE

Damu Changa Noma, Wamekiwasha ile Mbaya

WAKATI tukielekea ukingongoni kabisa wa mwaka, kama kuna mwaka kwenye historia ya muziki wa Tanzania ambao wasanii wapya wamepata nafasi...

READ MORE

Kanye West Kugeuza Mijengo Yake Kuwa Makanisa

Rapa Kanye West, amesema hatokuwa na makazi kwa mwaka mmoja, kwa kubadilisha mijengo yake ya thamani kuwa makanisa na mingine...

READ MORE

Kifo Cha Kanumba Kilivyomtoa Ray Mchezoni

MWANZONI mwa miaka ya 2000, huu ushindani unaoshuhudiwa kwenye muziki kati ya Diamond Platnumz na King Kiba au Harmonize ulikuwa...

READ MORE

Kumbe Gigy na Kiba Freshi tu

MWANAMAMA wa Bongo Fleva asiyeishiwa tafrani, Gigy Money ameweka wazi kwamba hana tofauti yoyote na King Kiba japo aliwahi kumkana...

READ MORE

Jay Z Ateketeza Bilioni 14 kwa Saa Hii

Unaambiwa Staa wa Muziki Duniani, Jay Z ameishtua dunia baada ya kuonekana na saa mpya ya ‘Patek Philippe Tiffany Blue...

READ MORE

Esma Ndoa ya Nne Yanukia

HABARI za ndani kabisa zinadai kwamba, ndoa ya nne ya dada wa staa wa muziki Afrika, Diamond Platnumz aitwaye Esma...

READ MORE

Wengine wakitembea, Rayvanny anakimbia

KUNA usemi wa Kiswahili usemao kwamba kama unataka kuwahi kufika safarini, wakati wenzako wanatembea, wewe kimbia. Hicho ndicho anachokifanya msanii...

READ MORE

Msimchukulie Poa Hamisa

TAARIFA ikufikie kwamba, kabati la mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Hamisa Mobeto limejaa tuzo za Bongo na kimataifa. Hamisa alianza...

READ MORE