×

Celebrities

Lil Wayne Kufunguliwa Mashtaka

MLINZI wa zamani wa rapa Lil Wayne yupo kwenye mipango ya kumfungulia mashtaka bosi wake huyo wa zamani, kwa mujibu...

READ MORE

Siri Zafichuka Kuvunjika Ndoa ya Dida, Kumbilamoto Kuvunjika

  ILICHUKUA siku 150 tu kabla ya ndoa ya Mtangazaji wa Wasafi FM, Khadija Isihaka Shaibu almaarufu Dida kudaiwa kuvunijika;...

READ MORE

Wema Sepetu Amvaa Shabiki Kisa Kuzaa

MALKIA wa Bongo Muvi, Wema Sepetu amejikuta akishindwa kuvumulia na kuamua kumtolea makavu bila chenga shabiki aneyafahamika kwa jina la...

READ MORE

Jason Derulo Apigana na Wanaume Wawili

STAA wa muziki nchini Marekani, Jason Derulo amepambana kwa kupigana na watu wawili katika hoteli ya ARIA huko mjini Las...

READ MORE

Omondi Awavaa Mapromota Kenya

MSANII maarufu wa vichekesho nchini Kenya, Eric Omondi ameweka masharti magumu kwa mapromota na waandaaji wa matamasha ya muziki nchini...

READ MORE

Otile Brown Kinara YouTube Kenya

SUPASTAA wa muziki kutoka nchini Kenya, Otile Brown ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza wa Kenya kupata idadi ya...

READ MORE

Kanye West Apata Chombo Kipya

MBALI na kusambaa kwa taarifa za kwamba rapa maarufu duniani kutoka nchini Marekani, Kanye West anahangaika kurudisha ihusiano wake na...

READ MORE

Adele Kununua Mjengo wa Rambo kwa Tsh Bil 133.7

IMERIPOTIWA kuwa, msanii maarufu duniani wa Pop, Adele Laurie Blue Adkins ‘Adele’ ametoa mkwanja kiasi cha takribani Dola za Marekani...

READ MORE

Shatta Wale Akubali Kuzichapa na Burna Boy

HATIMAYE mwanamuziki machachari kutoka nchini Ghana, Charles Nii Armah maarufu Shatta Wale, amekubali ombi la pambano la masumbwi na msanii...

READ MORE

Harmonize Alipuka! 2022 Sioni Msanii Ananunua Views – Video

 Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize ameeleza kuhusu baadhi ya wasanii wenye tabia ya kununua views, Youtube na kuaminisha watazamaji...

READ MORE

Harmonize Azindua Albamu ya ‘HIGH SCHOOL’, Dar (Picha +Video)

MWANAMUZIKI Harmonize, Desemba 31, 2021  amezindua albamu ya yake ya ‘HIGH SCHOOL’ katika ukumbi wa Palm Village mikocheni, Dar es...

READ MORE

Muna: Kwa Sasa Namtumikia Mungu

MWANAMAMA mjasiriamali aliyejulikana kupitia Bongo Movies, Rose Nungu almaarufu Muna Love anasema kuwa, mwonekano wake alionao kwa sasa ni Mungu...

READ MORE

Babu Tale: Bila Mke ni Mtihani

Maneja wa Diamond Platnumz ambaye pia ni Mbunge Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale ‘Babu Tale’ amefunguka tena kwa mara nyingine...

READ MORE

Willy Paul, Diana Wafikishana Pabaya

MAHAKAMA nchini Kenya imemuagiza mtayarishaji wa maudhui ya Televisheni na mwimbaji kutoka nchini Kenya Diana Marua kufuta video yake aliyoiweka...

READ MORE

Kumbilamoto Afunguka Kuachana na Dida

June 10, mwaka huu, mtangazaji maarufu nchini wa kipindi cha mashamsham cha Wasafi Fm, Didah Shaibu pamoja na Diwani wa...

READ MORE

Kolabo Kali Zilizotikisa Zaidi Bongo 2021

WASANII kufanya kazi kwa ushirikiano (kolabo) na wasanii wengine ama kutoka ndani au nje ya Tanzania ili kutengeneza kazi nzuri,...

READ MORE

Mwijaku Ampa Somo Zuchu: Mkamate kwa Busara

MOJA kati ya headlines zinazo gonga vichwa vya habari mtandaoni ni issue inayomtaja mwanamuziki Diamond Platnumz kutaka kumuoa mwanamuziki mwenzake...

READ MORE

Kiba Amjibu Maua Sama “Hakuna wa Kukupiga”

Staa wa muziki Bongo Alikiba amemjibu Maua Sama kwa kumwambia hakuna mtu wa kumpiga akirudia kusikiliza wimbo wake wa Zai,...

READ MORE

Muumin, Ally Choki Wamlilia Leyla

WAIMBAJI maarufu wa muziki wa dansi nchini, Muumin Mwinjuma na Ally Choki wameelezea kushtushwa na kifo cha mdau mkubwa wa...

READ MORE

Kupanda Na Kushuka Kwa Defao Mpaka Kifo – Video

Mwanamuziki mahiri na mkongwe wa Rhumba kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, General Defao amefariki dunia Desemba 27, 2021...

READ MORE

Mirabaha ya Wasanii Gizani

SERIKALI ilisema itaanza kulipa mirahaba ya kazi za wasanii kuanzia Desemba mwaka huu kupitia makusanyo yatakayopatikana kwenye vyombo vya habari...

READ MORE

Dr Dre Kumlipa Mkewe Bilioni 230

Proucer maarufu duniani, Andre Romelle Young ‘Dr Dre’ (56) wamefikia makubaliano rasmi ya kuvunja ndoa yake na aliyekuwa mke wake...

READ MORE

Professor Jay Hajawahi Kukosea

LEGEND wa Hip Hop na Bongo Fleva, Professor Jay ameachia bonge la kitu kinachokwenda kwa jina la Hands Up akiwa...

READ MORE

Shinda Hadi Mara 1000 Ya Dau Lako Na Sloti Ya Foxpot Ya Meridianbet

Bonasi, Mizunguko ya bure na Jackpoti kibao kwenye sloti ya Foxpot. Sloti ya Foxpot Unapoitazama sloti hii ya Foxpot, utashangazwa...

READ MORE

Lyyn Atamani Ajioe Mwenyewe

STORI za wanawake kujioa wenyewe zinashika kasi duniani huku sababu zikiwa ni tofaautitofauti kama kuchoshwa na usaliti wa wanaume, magonjwa,...

READ MORE

Diamond Anapenda Kuwa Juu Peke Yake?

MIONGONI mwa mjadala mkali unaoendelea ni juu ya staa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz kudaiwa kupenda kuwa juu peke...

READ MORE

Nandy Mjamzito?

MALKIA wa muziki wa Bongo Fleva Afrika Mashariki, Nandy The African Princess ameendelea kutrendi na tetesi za kuwa mjamzito kwa...

READ MORE

Mdogo wa Maradona Afariki Dunia

Mwanasoka na kocha maarufu nchini Argentina ambaye pia ni mdogo wake na aloyekuwa mkongwe wa soka nchini humo na dunia...

READ MORE

Ruby Atangaza Vita

MWANAMAMA mkali kunako Bongo Fleva, Ruby ametangaza vita kwa yeyote atakayemtongoza mpenzi wake mpya aitwaye Platform. Ruby ambaye ni baby...

READ MORE

Harmo Asepa na Kijiji Mbele ya Rayvanny

KABLA ya mambo kwenda mrama na kuwa maadui, wasanii wawili wa Bongo Fleva, Harmonize na Rayvanny walikuwa marafiki wakubwa ndani...

READ MORE

Kanye Anunua Mjengo wa Bilioni 10

Rapa Kanye West ameripotiwa kununua Nyumba yenye thamani ya Dola milioni 4.5 (sawa na zaidi ya Tsh Bilioni 10) kando...

READ MORE

Sallam Afungukia Wasanii vs Management

MENEJA wa Supastaa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Sallam Ahmed Sharaff maarufu kama Sallam Sk au Mendez atatua...

READ MORE

Omondi: Afrika Mashariki Msanii ni Diamond Pekee

Kutoka 254 Kenya mchekeshaji Eric Omondi anasema kwa Afrika Mashariki Diamond Platnumz ndio msanii anayemtambua na anastahili kupewa sifa hizo....

READ MORE

Kisa Shoo Yake Kubuma, Baba Levo Amkatia Simu Mtangazaji – Video

Baada ya stori na video kusambaa mitandaoni zikionyesha shoo ya KMsanii wa Bongo Fleva, Baba Levo kubuma kule Kigoma huku...

READ MORE

Drake Agawa Pesa Barabarani

Rapa maarufu Duniani kutoka nchini Marekani, Aubrey Drake Graham ‘Drake’ ambaye ni mzaliwa wa Canada ameitumia siku ya boxing day...

READ MORE

P-Square Wawapigia Magoti Mashabiki

Wasanii mapacha kutoka pande za Nigeria, Peter na Paul Okeye almaarufu P-Square wamepiga magoti mbele ya mashabiki wao na kuomba...

READ MORE

Defao Afariki Dunia Akiwa Nchini Cameroon

MWANAMUZIKI mahiri wa Rhumba, Le General Defao Matumona (62) amefariki Desemba 27, 2021 akiwa Douala, nchini Cameroon.   Defao ni...

READ MORE

Nandy: Sina Bahati

SEXY lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles almaarufu Nandy @officialnandy au The African Princess amefunguka kwamba, si kweli kwamba, yeye...

READ MORE

Mwijaku Atajwa Chawa Ghali Zaidi

Enzi hizo, sanaa na burudani ilikuwa siyo rasmi. Watu walicheza michezo na kufanya sanaa kwa mapenzi yao tu; wala siyo...

READ MORE

Diamond, Director Kenny Watwaa Tuzo AEAUSA

NYOTA wa muziki kutoka WCB, Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka barani 2021 barani Afrika kwenye tuzo...

READ MORE