×

Celebrities

Tundu Lissu na Godbless Lema Watangaza Kurejea Nchini Muda Wowote Kufanya Kazi ya Siasa

  Makada wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Godbless Lema wamesema wanarudi nchini Tanzania muda...

READ MORE

Mrembo Afariki Akifanyiwa Sajari ya Kuuboresha Mwili Wake Lagos, Nigeria

Crystabel; ni mrembo slay queen maarufu jijini Lagos nchini Nigeria ambaye anadaiwa kufa hospitalini alikokuwa amekwenda kufanya sajari ya kuuboresha...

READ MORE

Zuchu Apambania Kombe Kwa Diamond, Aoneshana Mahaba Mazito Bila Woga

  Zuhura Othman wengi wanamjua kama Zuchu; ni malkia mpya wa muziki nchini Tanzania ambaye ameapa kupambania kombe kwa bosi...

READ MORE

Nido Kubwa Zamponza Mrembo, Ashushwa Kwenye Ndege Canada Akitaka Kwenda Marekani

  Mary Magdalene (28); ni mrembo ambaye amekuwa gumzo duniani baada ya kudai kuponzwa na ukubwa wa matiti yake (nido)...

READ MORE

Sakata la Mume Aliyemuua Mke kwa Risasi Lawaibua Wanaharakati (Picha +Video)

  MWANAHARAKATI Joyce Kiria ambaye kwa muda mrefu amekuwa akipambana kuhusu haki za wanawake na watoto ametembelea na kufanya mahojiano...

READ MORE

Jeuri ya Zuchu Kwa Diamond Platnumz Yawekwa Wazi, Afanya Makubwa Chini ya Lebo ya WCB

  ZUCHU; ni malkia mpya wa muziki nchini Tanzania ambaye ametumia miaka miwili vizuri ndani ya muziki na kujitengezea himaya...

READ MORE

Mimi Mars: Sina Uhusiano wa Kimapenzi na Marioo, Atoa Tamko Kwa Mashabiki Wake

  MIMI Mars; ni mwimbaji wa Bongo Fleva na mwigizaji wa Bongo Movies ambaye anasema kuwa, hana mahusiano ya kimapenzi...

READ MORE

Mahakama Yamuachia Huru Mwijaku, Upande wa Mashtaka Washindwa Kuthibitisha

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa maigizo, Mwemba Burton maarufu Mwijaku, baada ya upande wa mashtaka kushindwa...

READ MORE

Live: Mapya Yaibuka Sakata la Mume Kuua Mke, Kujiua, Sabaya Kutoka Au Kubaki Jela?

 Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi...

READ MORE

Video: Picco Kikongwe Awa Teja – ”Nilitoa Machozi Niliposikia Nimekufa” | Mapito

 KARIBU kwenye kipindi cha MAPITO, Leo tumetembelewa na Staa mkongwe Bongo PICCO KIKONGWE aliyejipatia umaarufu kwa wimbo wake wa...

READ MORE

Tunzaa Yaja na Fursa Mpya ya Kidigitali kwa Wafanyabiashara Nchini, Pakua App Yao Sasa

Wauzaji wa bidhaa wakubwa na wakati hapa nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya jukwaa la kidigitali linalokuwa kwa kasi na lenye...

READ MORE

Penzi la Kajala na Harmonize Larejea Upya Baada ya Kuondolewa ‘Block’ Instagram

  Penzi ambalo awali lilivunjika kati ya staa wa Bongo Movie, Kajala na mkali wa Bongofleva, Harmonize ni kama limerejea...

READ MORE

Mama Dangote Amkubali Aaliyah Awe Mkwe Wake, Amuahidi Ndoa Awe Mvumilivu

  Mama Dangote; ni mama wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz ambaye habari za ndani kabisa zinadai...

READ MORE

Chagua Namba, Rusha Kete na Ujipatie Mshiko wa Kutosha Kutoka Kasino ya Mtandaoni

Sloti Ya Titan Dice Anza wiki yako ukicheza mchezo wa Titan Dice kwa kujikusanyia mkwanja wa kutosha na kasino ya...

READ MORE

Apple Music Yasherehekea Uzuri wa Kipekee na Mandhari ya Bara la Afrika

JUKWAA la muziki la Apple Music, linasherehekea uzuri wa kipekee na mandhari ya Bara la Afrika kupitia muziki katika Africa...

READ MORE

Mastaa Wateswa na Msongo wa Mawazo, Mashabiki Wao Wawazungumzia

  KWA nini baadhi ya mastaa Bongo wamekuwa wakilalamika kuteswa na msongo wa mawazo ilihali wanajisifu kuwa na maisha mazuri?...

READ MORE

Rihanna Ajifungua Mtoto wa Kiume Los Angeles, Chris Brown Ampongeza – Video

Hatimaye Rihanna na mpenzi wake Asap Rocky(33)  Mei 13, 2022 wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume. Rihanna ambaye...

READ MORE

Hamisa Mobeto Akataa Kumuiga Diamond Platnumz “Wiki ijayo Kutoa EP Yake”

HAMISA Mobeto; ni mwanamitindo, muigizaji na msanii wa Bongo Fleva ambaye anasema kuwa wiki ijayo ataachia Extended Playst (EP) yake...

READ MORE

Karibu Kwenye Familia Ya Kibingwa Ya Meridianbet Ufurahie Sloti Ya Bursting Hot 5

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea sloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwako sasa! Bursting Hot 5 ni...

READ MORE

Diamond Vitani Tena na Burna Boy, Wizkid Kuwania Tuzo Kipengele Kimoja Ghana!

  DIAMOND Platnumz au Simba; ni supastaa wa muziki nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameingia vitani na wasanii wakubwa...

READ MORE

Ni Kweli Paula Anasomea Udaktari? Wanafunzi Wanaosomea Fani ya Udaktari Wafunguka

  PAULA Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) ambaye baadhi ya wanafunzi wanaosomea fani ya...

READ MORE

Ishu Ya Rosa Ree Kusainiwa Kwenye Lebo ya Rapa Rick Ross Iko Hivi…Ukweli Upo Hapa

  ROSA REE; ni rapa mkali wa kike Bongo ambaye amefunguka kuhusu ishu ya kusainiwa kwenye lebo ya rapa mkubwa...

READ MORE

Harmonize Aingilia Sakata Mtoto wa Ibraah, Ampa Ushauri Mzito

HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi; ni staa wa muziki nchini Tanzania ambaye ameingilia kati sakata la msanii wake, Ibraah kudaiwa...

READ MORE

Nai: Mastaa Acheni Pombe Kali na Bata Zisizokuwa na Maana Kwenu

NAIRATH Ramadhan au Nai; ni video vixen na msanii wa Bongo Fleva ambaye kwa mara ya kwanza amefunguka sababu iliyomfanya...

READ MORE

Amber Lulu: Najilaumu Kuunadi Mwili Wangu Kwenye Mitandao

  Lulu Euggen almaarufu Amber Lulu; ni muuza nyago (video vixen) na ni msanii wa Bongo Fleva anayefanya vizuri ambaye...

READ MORE

Wema: Baba Yangu Yupo Mwilini Wangu, Hawezi Kuchora Tattoo ya Mwanaume

  Wema Isaac Abraham Sepetu siku hizi wanamuita Last Born wa Taifa; ni staa mwenye jina kubwa kunako Bongo Movies...

READ MORE

Miaka Mitano ya SportPesa Tanzania, Waongeza Idadi Ya Watalii Ujio Sevilla, Everton

  “HAYA mafanikio tuliyoyapata SportPesa kwa kipindi cha miaka mitano tuliyoyaanza Mei 9, 2017, tumepanga kuyaendeleza zaidi ya hapa.  ...

READ MORE

Mastaa wa Muziki Afrika Waachia African Lullabies Part 2 Kwa Kishindo

KIKOSI kazi cha kusherekea mwezi wa Afrika kwenye mkusanyiko wa nyimbo zenye mahadhi ya Kiafrika zilizopewa jina la African Lullabies...

READ MORE

Ngoma Hizi Zimebeba Maisha Halisi ya Harmonize au Konde Boy Mjeshi

  RAJAB Abdul Kahali almaarufu Harmonize au Konde Boy Mjeshi; ni msani wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania ambaye...

READ MORE

Masoko Mapya Meridianbet, Uhakika Nafasi Kubwa Zaidi ya Ushindi Kutoka Meridianbet

Wikiendi yako inaenda kuwa namna gani? Naamini umeshandaa majamvi yako ya faida, na ninakukumbusha mitanange muhimu inayoweza kukupa pesa wiki...

READ MORE

Kiba: Bila Uongo Mapenzi Hayaendi, Sijawahi Kuimba Wimbo Wenye Uongo

KING Kiba; ni mfalme wa muziki nchini Tanzania ambaye amezua mjadala kama wote, baada ya kutoa kauli tata kuwa, bila...

READ MORE

Paula Arudi Kivingine Yupo sawa Baada Ya Rayvanny Kurudi Kwa Fahyma

Paula Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania ambaye umaarufu wake ulipanda zaidi baada ya...

READ MORE

Anayedai Kuzaa na Ibraah Aibuka na Mazito, Adai Amemwachia Majukumu

Ibrahim Nampunga almaarufu Ibraah; ni staa mpya wa muziki nchini Tanzania ambaye kuna mwanadada anayejiita Kim Mishepu kwenye mitandao ya...

READ MORE

Nandy: Vikao vya Harusi Vimeanza, Maandalizi Yapo Vizuri Namshukuru Mungu

KWA kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba Faustina Charles Mfinanga almaarufu Nandy; au Nandera amezaliwa Novemba 9, 1992 mjini Moshi, Kilimanjaro nchini...

READ MORE

Lulu Afunguka Mapya Hakuna Starehe Ambazo Hajapitia, “Maisha ya Ujana Yaacheni”

Elizabeth Michael almaarufu Lulu au Mama G; ni staa wa Bongo Movies tangu kitambo hicho akiwa na umri wa miaka...

READ MORE

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA), Yaifungia ‘Mtasubiri’ ya Diamond na Zuchu

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA), imepiga marufuku vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kutoonyesha wimbo wa ‘Mtasubiri’ ulioimbwa na msanii...

READ MORE

Drake Alamba Bingo, Asaini Mkataba Wenye Thamani ya Bilioni 928

DRAKE ni rapa wa kiwango cha Dunia wa Marekani ambaye anazidi kujipigia mkwanja tu kila kukicha. Kwa mujibu wa akaunti...

READ MORE

Mwanamama Mkongwe wa Muziki Stara Thomas Afunguka “Nipo Kimya Ila Ninaishi”

“WENGI nimewaona ila moyo… Watakapo tuuu kutulia… Kwa dhati ninanena  Ukweli ninasema…aahh kutoka moyoni…  Nipo kwa ajili yako wewee…  Hata...

READ MORE

Fahyma Atamba Baada ya Kufanikiwa Kumrejesha Rayvanny “Nimerudi Mama Mjengo”

FAIMA Msangi almaarufu Fahyma au Fahyvanny; ni baby mama wa staa mkubwa wa muziki wa kimataifa wa Tanzania, Rayvanny ambaye...

READ MORE

Vita Ya Msanii wa Bongo Fleva Gigy Money, Moj Damu Itamwagika, Kesi Kutua Polisi

MOURAD Alpha almaarufu Mo J; ni mtangazaji wa Radio Clouds FM ambaye dunia inajua ni baba mzazi na halisi wa...

READ MORE