×

Celebrities

Diamond: Lazima Ulimwengu Ututambue

Diamond Platnumz; ni supastaa wa Bongo Fleva ambaye anajisifia kwa kupandisha hadhi na viwango vya albam fupi (EP). Akiwa kwenye...

READ MORE

Diamond: Nitafanya Shoo O2 Arena

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amemesa kuwa ndoto yake nyingine kubwa ni kufanya shoo kwenye moja ya kumbi maarufu...

READ MORE

Wajumbe Wakana Kumteua ‘Steve Ake’

Baadhi ya wajumbe wanaodaiwa kushiriki katika kumteua Steven Nyerere kuwa msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzani (SMT), wamekana bodi kuhusika...

READ MORE

Kimeuamana: Bongo Fleva Watafute Msemaji Wao

Kimeumana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wasanii wa muziki Tanzania kukusanyika kwa ajili ya sintofahamu juu ya muigizaji Steve Nyerere...

READ MORE

Diamond: Nipo Kwenye Penzi Zito

DIAMOND Platnumz; ni mwanamuziki mkubwa barani Afrika akiiwakilisha vyema nchi yake ya Tanzania ambaye amesisitiza kuwa, yupo kwenye penzi zito....

READ MORE

Paula, Kajala Kama Mapacha Vile

PAULA Kajala; ni modo maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye ni mtoto wa prodyuza P Funk Majani na mwigizaji mkubwa...

READ MORE

Harmo: Nakichafua Muda Wowote

RAJAB Abdul Kahali wengi wanamjua kama Harmonize au Konde Boy Mjeshi; ni staa mwingine mkubwa wa muziki nchini Tanzania ambaye...

READ MORE

Hatimaye Mama Dangote amkubali Zuchu

Bi Sandra au Mama Dangote; ni mama mzaa chema wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye anajulikana kwa...

READ MORE

Uwoya apigwa miwani ya gharama

Irene Uwoya; ni mwanamama pisi kali ya Bongo Movies ambaye amejikuta akipigwa ile miwani yake ya bei mbaya huku watu...

READ MORE

Madee: Afunguka Sababu Kukaa Kimya ‘Sijaacha Muziki’

HAMAD Ally au Madee, Rais wa Manzese Music; ni muda sasa umepita tangu aachie ngoma yake ya Hadithi ambapo hatimaye...

READ MORE

Dube Amchimba Mkwara Mayele

STRAIKA wa Azam FC, Prince Dube, amesema kwa sasa anahitaji kufunga mfululizo ili kuisaidia timu yake kumaliza ligi kwenye nafasi...

READ MORE

Grand P atangaza vita na Roga Roga

Grand P; ni mwanamuziki na mwigizaji mkubwa nchini Guinea ambaye amefufua ugomvi wake na msanii mwenzake kutoka Kongo, Roga Roga....

READ MORE

FOA Ya Diamond Mil. 30

Diamond Platnumz; ni nguli wa muziki barani Afrika akitokea Tanzania ambaye anasema kuwa albam yake fupi (EP) ya First Of...

READ MORE

Nandy: Sijagombana Na Wema

FAUSTINA Charles au Nandy The African Princes; ni malkia wa muziki Afrika Mashariki akiiwakilisha vyema Tanzania ambaye anasema kuwa, hajawahi...

READ MORE

Hamisa Achezea Levo za Hatari Marekani

  HAMISA Mobeto; ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania aliye pia msanii wa Bongo Fleva ambaye wiki hii amethibitisha siyo...

READ MORE

Rayvanny Alipa Mil. 20 Hotelini

RAYMOND Shaban Mwakyusa au Rayvanny; ni staa mwingine wa Bongo Fleva anayefanya vizuri nje ya mipaka ya Tanzania ambaye kwa...

READ MORE

Muna: Mungu Amenitoa Kwenye Umauti

ROSE Alphonce Nungu almaarufu Muna Love; ni mwigizaji wa Bongo Movies ambaye hajaonekana lokesheni kitambo ambaye anasema kuwa, kila siku...

READ MORE

‘Steve Nyerere Baiskeli Hajui Ndege Ataweza’

TUANZE mjadala polepole! Hivi tangu uzaliwe umeshawahi kusikia msanii Steve Nyerere akipiga gita au kurekodi singo ya muziki?   Umewahi...

READ MORE

Msanii Kanye West Afungiwa Instagram Kwa Saa 24

Kanye West amepigwa marufuku kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kwa saa 24 baada ya kutumia lugha ya kibaguzi dhidi...

READ MORE

Lulu: Kupendwa na Mume Kila Mtu Ana Bahati Yake

ELIZABETH Michael almaarufu Lulu; ni mmoja wa mastaa wakubwa waliodumu kwa muda mrefu kwenye Bongo Movies ambaye ameanza kuigiza tangu...

READ MORE

Zari: Sisi Sio Ma-ex Wenye Chuki

  Mwanasoshalaiti na mfanyibiashara mashuhuri kutoka Uganda, Zari Hassan ni mmoja wa watu mashuhuri ambao wameshirikishwa kwenye shoo ya ‘Young,...

READ MORE

Mjadala Waibuka Diamond Namba 3 Afrika, CNN Wamaliza Ubishi

Mjadala mkubwa unaoendelea kwenye Social Networks hivi sasa, ni kuwa Diamond si miongoni mwa wasanii watatu wakubwa barani Afrika, Hizi...

READ MORE

Mrembo wa Poland ashinda taji la Miss World

Karolina Bielawska (23) kutoka Poland, ameshinda taji la shindano la urembo la dunia ‘Miss World 2021’. Karolina amepokea taji hilo...

READ MORE

Esma: Sitegemei Pesa Za Diamond

ESMA Khan almaarufu Esma Platnumz; ni dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ambaye baada ya kuwepo kwa...

READ MORE

Hamisa Na Rick Ross Wanaendelea Pale Walipoishia

HAMISA Mobeto; ni mwanamitindo wa kimataifa, msanii wa Bongo Fleva na mjasiriamali ambaye moja ya mambo anayoyap­enda ni pamoja na...

READ MORE

Muonekano mpya wa Diamond, Hapo Vipi?

Mionekano kwa wasanii si jambo la kuchukulia poa, bali ni kazi. Ni moja ya njia za branding na kujiweka machoni...

READ MORE

H.Baba: Diamond Ndio Msanii Namba 1 Afrika

KUTOKA kwenye Ukurasa wa Instagram wa msanii nguli wa Bongo Fleva, Hamisi Baba ‘H.baba ameandika. ”Diamond Platnumz Ndio Mwanamuziki Bora...

READ MORE

Vita ya Shilole, Nuh yafika Pabaya

KUNA vita ambayo inaendelea kushika kasi kila kukicha kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva ambao waliwahi kuwa wapenzi, Shilole...

READ MORE

Harmonize Kumuenzi Mzee Mengi

Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mwanamuziki Harmonize ametangaza kuja na tamasha lake la #OneLoveConcert lenye dhumuni ya kuchangia na...

READ MORE

Video: Steve Nyerere Awalipua Wabunge Wanaomkashifu Rais Samia

MWENYEKITI wa kundi la mama ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameitisha mkutano na wanahabari na kuelezea kuhusiana na watu wanaombeza...

READ MORE

Siku 5, FOA ya Diamondi Yafikisha Streams Milioni 5 Boomplay

Ndani ya siku 5′ tangu ilipo achiwa rasmi EP’ ya First Of All kutoka kwa mwanamuziki Diamond Platnumz, imefanikiwa kufikisha...

READ MORE

Nyuma ya Pazia Kolabo za Mondi na Wakongo

UKWELI ni kwamba kuna siri kuu moja ya msanii wa Bongo Fleva nchini Diamond Platnumz kufanya kolabo na wanamuziki wa...

READ MORE

Diamond: Hata Top 100 Haupo, Unataka Kunashindana na Mimi?

Supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewataka wasanii wenzake wa Bongo kuungana na kuwa kitu kimoja badala ya kugombana na...

READ MORE

Diamond: Zuchu Hajawahi Kuniangusha, Namuonyesha Upendo

Msanii maarufu nchini, Diamond Platnumz ambaye kwa sasa EP yake ya FOA ndio habari ya mjini, ameeleza kushangazwa kwake na...

READ MORE

Hatimaye Diamond Amjibu Harmonize

Mwanamuziki nyota wa pop nchini, Diamond Platnamuz amemjibu msanii mwenzake aliyekuwa kampuni ya Wasafi, Harmonize kuhusu tuhuma za unyonyaji na...

READ MORE

Harmonize: Briana Ananisaidia Kuliko Sarah

HARMONIZE au Konde Boy Mjeshi; ni staa mwingine mkubwa wa Bongo Fleva ambaye amekuwa hakaukiwi habari.   Safari hii anaeleza...

READ MORE

Roma Afananisha EP ya Diamond Platnumz na Karoti

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rapa Roma Mkatoliki ameamua kuifananisha FOA na Karoti baada ya kumkuta mwana anatafuna karoti na...

READ MORE

Wolper: Instagram Inavunja Ndoa Kweupe

JACQUELINE Wolper ambaye siku hizi wanamuita Mama P; ni mwanamama mjasiriamali wa Bongo Movies ambaye amevunja ukimya juu ya uwezekano...

READ MORE

Harmonize: Hakuna Konde Boy Bila Madam Rita

Harmonize au Konde Boy Mjeshi; ni staa wa muziki nchini Tanzania akimiliki Lebo ya Konde Music ambaye amempigia magoti bosi...

READ MORE

Mama Dangote ampiga pini Zuchu

Inasemekana lakini, Mama Dangote (Diamond) ame-unfollow Zuchu kwenye ukurasa wa Instagram ambaye inadaiwa kuwa ndiye Mpenzi wa Diamond Platnumz kwa...

READ MORE