×

Celebrities

Z Anto Afunguka Kurudiana na Binti Kiziwi – Video

GLOBAL TV imepiga stori na mwanamuziki wa Bongo Fleva anayetamba hivi sasa na ngoma yakee ya Nichape, Z Anto kuhusu...

READ MORE

Ukweli Mpasuko Mastaa wa Injili

MAMBO ni mvurugiko kwa mastaa wa muziki wa Injili kutokana na viongozi wao kutifuana kisa vyama vinavyowasimamia, Risasi linakupa habari...

READ MORE

Mondi Aundiwa Mkakati wa Siri Kumuoa Tanasha

INAWEZEKANA watu wamechoka kumuuliza Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi swali la ataoa lini, ndiyo maana ameundiwa mkakati mzito wa kuhakikisha...

READ MORE

Bukuku Bahati Ampa Nandy Sharti la Kuokoka!

UNAPOUZUNGUMZIA muziki wa Injili Bongo, huwezi kuacha kumtaja nguli wao ambaye ni mwanamama kutoka mkoani Mbeya, Bahati Bukuku. Ni mmoja...

READ MORE

Imevuja! ‘Nandy Ametupiwa Jini’

DUNIA ina mambo mengi sana! Unaweza kusema hivyo kutokana na aliyoyasema Mchungaji wa Kanisa la The World of Reconciliation Ministries...

READ MORE

Ndoa ya Maya yamzulia balaa Johari

DAR Mwigizaji Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunga ndoa, lakini kwa upande mwingine, ndoa hiyo imemzulia balaa mwigizaji mwenzake wa filamu za...

READ MORE

 Shetta afunguka Mondi kumpora mama Qayllah

SHETTA ndilo jina linalompa ugali wa kila siku. Lakini Nurdin Bilal ndilo analotumia kwenye kitambulisho cha Nida, hati ya kusafiria,...

READ MORE

Ndoa ya kiba yafufukia kwa dada’ke!

DAR: Unakumbuka lile sakata la kuvunjika kwa ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na mkewe,...

READ MORE

Tanasha; Msanii wa Kuchungwa Sana 2020

BILA shaka utakuwa una taarifa kuwa wimbo bora Afrika Mashariki kwa sasa ni Gere unaomilikiwa na mwanamama mrembo, Tanasha Donna...

READ MORE

Siyo Wasanii Ila Ndio Wenye Bongo Fleva Yao!

KWA sasa muziki wa Bongo Fleva umeshamiri sana, umevuka mipaka ya nchi, bara na unasikilizwa duniani kote.   Lakini hadi...

READ MORE

CLASS 2: Barnaba ‘Amenipiga’

MSANII chipukizi wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya Kidogo, Shedrack Allam ‘Class 2’ amedai kupigwa na msanii wa...

READ MORE

Dhamana ya R Kelly Yanukia

MSANII mkongwe wa miondoko ya RnB kutoka pande za Marekani; Robert Sylvester Kelly ‘R Kelly’ anayekabiliwa na makosa zaidi ya...

READ MORE

Chuchu: Jaden Anapenda Kulipuka!

MSANII kunako Bongo Movie, Chuchu Hans amefunguka kuwa mwanaye ambaye amezaa na muigizaji mwenziye Vincent Kigosi ‘Ray’ anapenda sana kuvaa...

READ MORE

Harmonize Amjibu Diamond “Wewe SIMBA Mimi ni TEMBO”

VITA ya panzi majani ndiyo yanayoumia! Unaweza kutumia msemo huu kutokana na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul...

READ MORE

MONDI, TANASHA WAWEKA REKODI MPYA

 STAA wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Tanasha Donna,...

READ MORE

UWOYA: SIPENDI KUOGA, NAPENDA SANA POMBE!

MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii pendwa ya My Style! Kama ilivyo kawaida, huwa tunakuletea mastaa wakubwa hapa Bongo...

READ MORE

TEMBO WA HARMO AZUA BALAA

VITA ya panzi majani ndiyo yanayoumia! Unaweza kutumia msemo huu kutokana na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul...

READ MORE

Mzigo wa shamsa umesakwa balaa!

WABONGO sasa hivi akili zao wanazijua wenyewe! Unaambiwa wewe waambie tu kuna ‘mzigo’ wa staa fulani, watautafuta kwelikweli ili wawe...

READ MORE

Faida ya zawadi mwenza kwa wapendanao!

WIKI ILIYOPITA tuliuliza swali, kama umeingia kwenye ndoa na mkeo akapata ujauzito. Mlipoenda kupima afya, mnabainika wote mmeathirika, ingekuwa ndio...

READ MORE

Wema: Diamond Tunaongea, Sijam-follow Instagram – Video

 MUIGIZAJI  nyota wa Bongo Movie, Wema Sepetu, jana Februari 21, 2020,   amesema msanii Diamond Platnumz ni rafiki yake na...

READ MORE

Harmo asakwa kwa deni la mamilioni

DAR: Mambo si mambo kwa mkali wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’, inadaiwa kuwa kuna jamaa wanamsaka kwa...

READ MORE

Daktari: Mama Mondi Ana Gonjwa Baya

PICHA ya chumbani aliyoiposti mitandaoni mama mzazi wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond’ Sanura Kassim ‘Mama D’ ikionesha akiwa kitandani na...

READ MORE

Mamilioni Ya Kanumba Yazua Tafrani Tena – Video

NGOMA nzito! Ndivyo unavyoweza kutamka kutokana na mamilioni ya aliyekuwa staa wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba kuzua tafrani tena...

READ MORE

CHUCHU: Mimba 6 za Ray ziliharibika

DAR: Mwanamama mwigizaji wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa, kabla hajampata mtoto wake, Jaden Vincent na mwigizaji mwenzake,...

READ MORE

Mdogo wa Jose Chameleone, Anusurika Kifo Sauz

PALLASO ambay ni ndugu wa msanii wa muziki  nchini Uganda, Jose Chameleone, ameshambuliwa na kuumizwa nchini Afrika Kusini  katika shambulio...

READ MORE

Bonga Aachana na Harmonize, Atimkia Lykos Empire – Video

Prodyuza wa Harmonize almaarufu kwa jina la Bonga leo ametangaza rasmi kuachana na msanii huyo na kujiunga lebo ya Lykos...

READ MORE

Maskini wema !

KILA kukicha hali ya staa wa Bongo Muvi inazidi kubadilika kutokana na kuzidi kukondeana jambo ambalo linazidi kuwashtua wengi na...

READ MORE

Uwoya: Msami anapenda tu kampani yangu

BAADA ya hivi karibuni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Joseph Msami kueleza kuwa hawajawahi kuachana kimapenzi, msanii wa Bongo Muvi, Irene...

READ MORE

Mjengo wamuumbua Mke wa Rayvanny

AMEUMBUKA! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mjengo ambao mke wa msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahima Msenga ‘Fahyvanny’...

READ MORE

Tiffah, Nillan kumponza Mondi

WATOTO wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ (4) na mdogo wake, Nillan Nasibu...

READ MORE

Nandy aonesha jeuri ya fedha

MWENYE nacho ataongezewa! Ndivyo msanii Bongo wa Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ (26), anavyozidi kuonesha jeuri ya fedha.  Usikumbuke mjengo...

READ MORE

Snura Akana kumwagana na Minu

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Snura’ amekanusha kuwa hajaachana na mpenzi wake Minu Calypto kama ambavyo watu...

READ MORE

Tahiya: Hamisa hawezi kuwa mke mwenzangu

MREMBO wa mjini, Tahiya John amemvaa kwa mara nyingine mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto na kusema kuwa...

READ MORE

Sarah wa Harmo Awachefua Warembo Uganda

KWA matarajio yao, baadhi ya warembo wa Kiganda walifikiri staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ atazuru nchi hiyo akiwa...

READ MORE

Mondi, Tanasha Tutaambia Nini Watu?

TUTAAMBIA nini watu? Ndiyo msemo unaotumika huko mitandaoni baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kurejesha mapenzi...

READ MORE