×

Celebrities

Producer wa Kimataifa Aliyefanya Kazi na Whozu, Mabantu Kaachia Dude

MSANII maarufu nchini SWITZERLAND, Fame Luck ameachia albamu yake mpya hivi karibuni iitwayo Here I Am ambayo imkuwa ikifanya vizuri...

READ MORE

Kuna Ulazima wa Ulinzi Huu au ni Show Off?

MIAKA ya nyuma wakati Bongo Fleva inaanza kushika kasi, wasanii hawakuwa na makuzi sana.  Mambo ya kulindwalindwa hayakuwepo kivile. Ilikuwa...

READ MORE

Anayedaiwa King Bae wa Zari Avunja Ukimya

MIONGONI mwa watu wanaotafutwa (most searched) kwenye mitandao ya kijamii Kibongobongo ni pamoja na mtu anayetajwa kwa jina la King...

READ MORE

Zawadi za Bethidei Yake… Zengwe Magari 2 ya Wema

HUKO mitandaoni kumechafuka! Watu wanajadili hayo magari mapya mawili ambayo mwigizaji Wema Isaac Sepetu, wengi waliamini alizawadiwa kwenye bethidei yake,...

READ MORE

Bieber na Hailey Wafunga Ndoa Mara ya Pili!

Justin Bieber na Hailey Baldwin  walifunga ndoa mara ya pili jana (Jumatatu) mbele ya marafiki na wanafamilia huko South Carolina,...

READ MORE

Mshindi wa Grammy Award Afariki Ajalini

MSHINDI wa tuzo ya muziki ya Grammy kwa muziki wa reggae, Louie Rankin, aliyepata umaarufu kwa kufanya kazi na nyota...

READ MORE

Serikali Yatoa Tamko Kuhusu Uraia wa Watoto wa Diamond

UTATA kwisha! Baada ya kuwepo kwa sintofahamu juu ya uraia wao, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani Idara ya...

READ MORE

Parimatch Gumzo Kila Kona, Diamond Anogesha!

Kampuni ya michezo ya kubashiri PariMatch Tanzania imekuwa ya kwanza ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kwa kuweza kubadilisha...

READ MORE

Mmemsikia Poshy kuhusu kuongeza kalio.?

MMOJA wa warembo wanaotikisa kwenye mitandao ya kijamii (socialite) Bongo, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ ametoa povu kuhusu skendo inayomuandama ya...

READ MORE

Nora amesahau kama alikuwa staa!

KUMBE kuna wakati unafika binadamu anasahau alikotoka? Msikie mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’, eti amesahau kabisa kama alishawahi...

READ MORE

Weusi, Fid Q Wafunika, Dimpoz Amwaga Machozi Jukwaa la Fiesta

TAMASHA la Muziki, Msimu wa Tigo Fiesta 2019 limezinduliwa jana kwa kishindo jijini Mwanza huku kundi la Weusi likifunika kwa...

READ MORE

Mai Zumo Atoboa Siri Yake na Waziri Mkuu!

MTOTO aliyejipatia ustaa kupitia mitandao ya kijamii, Maisara Mohammed ‘Mai Zumo’ (5), nyota yake imezidi kung’ara baada ya wiki iliyopita...

READ MORE

Walishikwa Wasanii Hawa… Wakatoboa Mkono

BILA shaka utakuwa unafahamu majina makubwa ya wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva kwa sasa. Kitu ambacho unaweza usikifahamu ni...

READ MORE

Baraka Magufuli Atoa Agizo kwa Mabaharia – Video

MUIGIZAJI wa Filamu Bongo, Daudi Michael ‘Duma’, usiku wa kuamkia leo, Septemba 29, 2019 amezindua filamu yake mpya katika ukumbi...

READ MORE

Kiuno cha Ruby Chawasimamisha Wanaumje Stejini – Video

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Hellen George maarufu kama Ruby usiku wa kuamkia leo, Septemba 29, 2019 amedhihirisha kwamba yeye ndo malkia...

READ MORE

Makazi Mapya Ya Wema Balaa!

WAKATI wengine wakikalia umbeya; ‘mara ooh kafulia, hana makazi maalum ya kuishi, anatangatanga mitaani hadi kasitiriwa na mama yake’, staa...

READ MORE

Kim Nana Awaka Kisa Ujauzito

Mwanadada anayeuza nyago kwenye video za wasanii Bongo, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ amewaka kwa mashabiki wake ikiwa ni muda mchache...

READ MORE

Mpango wa Kummaliza Harmonize Wafichuka… Meneja Aanika

DAR ES SALAAM: Kuna mpango mzito wa kummaliza kimuziki staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’, Risasi Jumamosi limeunasa!...

READ MORE

Mbasha Apata Kigugumizi Penzi Lake na Muna

BAADA ya tetesi kusambaa kuwa anatoka kimapenzi na msanii wa Bongo Muvi, Rose Alphonce ‘Muna’, msanii wa nyimbo za Injili...

READ MORE

SIRI UTAJIRI WA JUX YAVUJA!

DAR ES SALAAM: Kama ulikuwa hujui, habari ikufikie kwamba staa mwingine wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’ ana ukwasi wa...

READ MORE

Msanii Bongo afia kwenye treni

KIFO hakina siku wala saa, popote kinaweza kukutokea! Hii imejidhihirisha kwa msanii maarufu wa vichekesho Bongo, Iddi Lusaka ‘Katuni’ ambaye...

READ MORE

Poshy Atamani Kukatiza Sokoni

MWANADADA mwenye shepu matata Bongo, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ ametoa kali ya mwaka, amesema anatamani kukatiza katikati ya soko kama...

READ MORE

Uwoya Anammisi Masogange Kinoma

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya anammisi kinoma aliyekuwa rafiki yake, marehemu Agness Gerald ‘Masogange’ na anatamani angekuwepo.  ...

READ MORE

Balaa la Vanessa, Amtaja Jux Jukwani, Mashabiki Walipuka – Video

TAMASHA la Utamaduni linaloendelea jijini Dar es Salaam, Jama Festival, limezidi kunoga baada ya wasanii mbalimbali kuibuka na kulipamba tamasha...

READ MORE

Harmonize Awazimia Data Mazima!

WAKATI mashabiki wakiendelea kujiuliza nini itakuwa hatima ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ na lebo iliyomlea kimuziki ya...

READ MORE

Kiki za Mapenzi Ziliwapaisha

KATIKA ulimwengu wa mastaa kuna mambo mengi sana yanayoendelea yakiwemo mazuri na mabaya ambapo wasanii wamekuwa wakifanya kiki za aina...

READ MORE

Darleen: Tuna Uhusiano na Lukamba Lakini…

WIKI chache baada ya kuvuja kwa chati za mpiga picha wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Lukamba na dada wa msanii huyo,...

READ MORE

Zabibu: Siwezi Kuingilia Ndoa za Kaka Zangu

UKISIKIA mawifi ambao hawataki shobo ndiyo kama huyu dada wa mwanamuziki wa Kizazi Kipya, Ally Saleh Kiba ‘AliKiba’, Zabibu Kiba...

READ MORE

Kajala acharukia madai mwanaye…

DAR : Baada ya habari kusambaa kwa kasi kama moto wa kifuu cha nazi kwamba mwanaye, Paula anajihusisha kimapenzi na...

READ MORE

Steve Nyerere Ashusha Mijengo 3 Kwa Mkupuo!

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amedhihirisha kwamba fedha inaongea baada ya kushusha mijengo mitatu kwa mkupuo....

READ MORE

Mwanamke Aendesha ‘Gari la Maiti’ – Video

KUNA msemo maarufu unaohusiana na maisha ya kila siku ya mwanadamu katika utafutaji wa riziki unaosema kuwa masikini hana hoja...

READ MORE

Aunt Ezekiel Amzawadia Wema Bonge la Ndinga – Video

KAMA ni mdau wa masuala ya burudani na stori za mastaa wa Tanzania, bila shaka utakuwa unafahamu kama mrembo Wema...

READ MORE

Tunda awatoa watu povu ile mbaya!

  VIDEO queen matata Bongo, Tunda Sebastian amesema amewaona watu jinsi wanavyotokwa mapovu ile mbaya baada ya kufuta picha zote...

READ MORE

 Amber Lulu hajawahi kuolewa jamani!

MWANADADA chakaramu kuna­ko Bongo Fle­va, Lulu Aug­gen ‘Amber Lulu’ ameruka mita mia moja kuwa haja­wahi kuolewa bali watu wan­amfananisha. Amber...

READ MORE