×

Celebrities

Prezzo: Tungepata Marais 10 Kama JPM Tungekuwa Mbali

KWA mara ya kwanza tangu aingie kwenye muziki, rapa kutoka Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ ameshindwa kuzuia hisia zake baada...

READ MORE

Ben pol ataja sababu ndoa ya kimyakimya!

DAR ES SALAAM: Staa mkubwa wa muziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ ametaja siri ya kufunga ndoa ya...

READ MORE

Aunt atonesha kidonda cha wema!

DAR ES SALAAM: Ama kweli ule usemi usemao mtoto si nguo umuazime mwenzako una maana kubwa! Staa mkubwa wa filamu...

READ MORE

Nandy Alamba Ubalozi Sabuni Mpya za Azania Group

      Nandy akibadilishana mikataba na uongozi wa Azania Group.. MAKAMPUNI ya Azania Group yanayomiliki Kampuni kubwa ya bidhaa...

READ MORE

Mistari 8 Ya Kwenye Kijiwe Nongwa

TUNGO tata ni moja kati ya njia nzuri ya msanii kufikisha ujumbe wake kwa hadhira. Tungo tata zina utamu wake,...

READ MORE

Mafuriko Yaua 6 Tanga, Barabara Zafungwa

WATU  sita wameripotiwa kupoteza maisha huku kaya kadhaa wilayani Korogwe zikikosa makazi baada ya nyumba zao kuanguka na zingine kujaa...

READ MORE

Wolper Ahamia Uswazi, Ataja Sababu

NANI amekwambia mastaa hawawezi kupiga mzigo wakiwa uswahilini ‘uswazi’ na mambo yakaenda? Basi huyu hapa binti wa Massawe, Jacqueline Wolper...

READ MORE

Nandy Atoa Siri ya Machozi Kaburini kwa Ruge

JUZIKATI Faustina Charles Mfinanga alijikuta akishindwa kujizuia na kumwaga machozi kaburini kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds...

READ MORE

Ma ex wa Diamond…Wanaigana au ni Madili Tu!

MASTAA wengi wa kike ni wahanga wa mitandao ya kijamii hasa kwa kupiga picha kali na kuzitupia katika kurasa zao...

READ MORE

Ebitoke: Hata Kama Nimebabuka, Kileleni Nimechungulia

BAADA ya kuweka picha akiwa amebabuka uso huku maneno ya kejeli yakiwa mengi, msanii wa vichekesho; Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amesema...

READ MORE

Meneja wa Mbosso Naye Aondoka Wasafi

DAR ES SLAAM: Bado upepo siyo mzuri ndani ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)! Siku chache baada ya mwanamuziki...

READ MORE

Meninah Aibu Yake

NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na...

READ MORE

Tanasha Ajitetea Kudanganya Siku ya Kujifungua!

AMA kweli binadamu hawakosi la kusema! Mama mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna amelazimika...

READ MORE

Uwoya: Naye Ahofia Nyakunyaku!

lpKUMBE siyo Zari tu anayeogopa nyakunyaku! Hebu msikie staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya, naye anasema ni jambo la...

READ MORE

Mama wa Sanchi Wala Hamaindi

WAKATI mwanaye akizua mjadala kama wote mtandaoni kuwa anakaa nusu utupu kutokana na vivazi vyake, mama mzazi wa modo mwenye...

READ MORE

Utata Msanii Beka Kuungwa Freemason!

DAR ES SALAAM: Utata mkubwa umeibuka juu ya picha zilizosambaa wikiendi iliyopita zikimuonesha msanii wa Bongo Fleva, Bakari Katuti ‘Beka...

READ MORE

Wema: Sehemu ya Kuzikwa ni Palepale

KWELI mambo ni mengi muda mchache! Staa wa Bongo Movies asiyechuja, Wema Isaac Sepetu amekumbushia kuwa sehemu atakayozikwa ni palepale...

READ MORE

Meninah Aibu Yake!

NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na...

READ MORE

Utajiri wa mastaa, Shilole akimbiza mwizi kimya kimya

UTAJIRI wa mastaa mbalimbali Bongo unazidi kukua kila kukicha ambapo mwanamuziki anayetamba na ngoma ya ‘Nikagongee,’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ naye...

READ MORE

Shilole: Rostam Wakileta Mimi Naweka

WAKILETA naweka! Ndivyo aliyosema staa wa Muziki wa Mduara, Shilole ikiwa imepita wiki chache tangu itoke Ngoma ya Kijiwe Nongwa...

READ MORE

Mbosso Atoboa Siri ya Kubaki WCB

WAKATI memba mwenzao wa Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Harmonize akidaiwa kuondoka lebo hiyo, mkali wa Bongo Fleva, Mbosso ametoboa siri...

READ MORE

Aunty Lulu acharuka Bondi kuoa!

BAADA ya hivi karibuni mwigizaji wa filamu za Kibongo, Bondi Suleiman kufunga ndoa na mwanamama raia wa Burundi, Charlote Rafael,...

READ MORE

Lynn asema hakuna mwanaume wankumuacha

MREMBO anayetamba kwa sasa na wimbo wake mpya wa Pepea, Irene Louis ‘Lyyn’ kwa mara ya kwanza amefunguka mambo mengi...

READ MORE

Kuna wakati Ebitoke alilia mwenyewe!

UNAFIKIRI kupanda Mlima Kilimanjaro ni kazi lelemama? Sasa taarifa ikufikie kuwa komediani mkali Bongo, Annastazia Exvery ‘Ebitoke’, amejikuta akilia peke...

READ MORE

Harmo Apiga Bao Lingine!

DAR ES SAAAM: Staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ anaendelea kung’ara kila kona na sasa amepiga bao lingine la...

READ MORE

Diamond aibua mjadala kuoa wake 3!

DAR ES SALAAM: Kumewaka moto! Muda mfupi baada ya tetesi kusambaa mitandaoni kuwa staa grade one kunako Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

Kwa Nini LYNN Asilindwe?

BAADA ya minong’ono ya hapa na pale kumhusu msanii wa Bongo Fleva, Irene Louis ‘Lynn’ kutinga na mabaunsa wanne kwenye...

READ MORE

Harmo, Zari Mambo Hadharani

YAPATA zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu ilipofahamika rasmi kwamba, supastaa wa Bongo Fleva; Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’, amejitoa kwenye...

READ MORE

Mama D Hataki Kufia Leba!

UMEINYAKA hii? Kama bado basi taarifa ikufikie kuwa, mama mzaa chema wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

Ben Pol Ahaha Kunusuru Ndoa

MRITHI wa mali ya Kampuni ya Keroche Breweries nchini Kenya, Anerlisa Muigai amefichua kuwa mpenzi wake, mwana-muziki, Ben Pol, anataka...

READ MORE

Mboni Kuanika Ndoa Yake

BAADA ya kukaa kimya kwa muda huku yakisemwa mengi kuhusu ndoa yake, mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba...

READ MORE

Mastaa Kumkacha Duma; ni Chuki, Wivu au Roho Mbaya?

MOJA kati ya vitu vilivyokuwa vikiwatafuna sana wasanii wa Bongo Muvi ni chuki, wivu, roho mbaya na ushirikina. Kwa nyakati...

READ MORE

Lynn: Ninachomisi kwa Mondi ni wivu

MREMBO aliyewahi kubanjuka penzini na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’, Irene Hillary ‘Lynn’ ameweka wazi kuwa, kitu pekee...

READ MORE

Amber Rutty: Muziki Unaniweka Mjini

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Mascat Abou-bakary ‘Am-ber Ru-tty’ amefu-nguka kuwa kwa sasa muziki unamuweka mjini kwani amekuwa akipata shoo kibao....

READ MORE

Riyama: Tusipopata mtoto, tutalea yatima!

STAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally amesema bado ana matumaini ya kupata mtoto na mumewe Leo Mysterio na hata...

READ MORE

Undani wa Wema Sepetu Kuzimia Ghafla Usiku

AFYA ya staa mkubwa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ haiku sawa, Risasi Mchanganyiko lina undani wa matukio yake ya kuzimia...

READ MORE

Boss Martha Aibua ‘Vilio’ Upya

ZIKIWA zimepita takribani wiki tatu tangu Tasnia ya Uigizaji (Vichekesho) Bongo kupata pigo kwa kuondokewa na Martha Shilole ‘Boss Martha’,...

READ MORE