×

Global TV Online

Prof. Lipumba Ampa Tano Rais Magufuli, Amvaa Maalim Seif – (Video)

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Prof. Ibrahim Lipumba amesema anaunga mkono...

READ MORE

Sakata la Ofisa Ubalozi wa Syria Kushambuliwa Dar, Dereva Ahusishwa!

KAMANDA wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Jumanne Murilo, amesema kushambuliwa kwa ofisa wa ubalozi wa Syria nchini, Hassan Alfaouri (53)...

READ MORE

Rais Magufuli Amwapisha IGP Mangu na Meja Jen. Mumwi, Ikulu (Video)

Rais Magufuli amewaapisha IGP Mstaafu, Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu Simon Michael Mumwi kuwa...

READ MORE

GLOBAL HABARI: Zitto Kafunguka Sakata la Watu Kutekwa, Kuuawa na Kupotea

 Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza na waandishi wa habari leo Machi 18, 2018, na kutoa mrejesho...

READ MORE

Zitto Adai Hali ya Uchumi Nchini si Nzuri (Video)

 Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hali ya uchumi nchini imezidi kubwa mbaya katika kipindi cha...

READ MORE

Mtunisi Ataja Sababu za Kupotea Kwake Kwenye Muvi (Video)

 MSANII nyota wa filamu Bongo, Nice Mohammed maarufu kama Mtunisi amefunguka kuwa maisha ya bongo Movies kwa sasa bado...

READ MORE

Uzinduzi Wa Jumo Entertainment Sinza Wafunika (Video)

 Mkurugenzi wa Jumo Pictures, Sitck Motela amesema watanzania wanataka vitu vizuri na bora hivyo kampuni yao imejipanga kuwapa wanatanzania...

READ MORE

LIVE: JPM Akizindua Reli ya Standard Gauge, Dodoma (Video)

Rais Dkt John Pome Magufuli leo anatarajia kuweka jiwe la Msingi sehemu ya pili ya Ujenzi wa Reli ya kisasa...

READ MORE

BREAKING: CHADEMA Wamshauri Rais! Watu Kutekwa, Kuuawa! – Video

BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) limemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....

READ MORE

Mbunge wa Ubungo Apeleka Hoja Binafsi Bungeni Kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea amesema amepeleka bungeni barua ya kusudio la kuwasilisha hoja binafsi ya kuwa na chombo huru...

READ MORE

ACT WAZALENDO YAITAKA SERIKALI KUZALISHA AJIRA KWA VIJANA

   CHAMA cha ACT- Wazalendo kupitia Ngome yake ya vijana imesema kuwa inasikitishwa na mwenendo uliopo hapa nchini  wa ...

READ MORE