×

Global TV Online

Mwinyi Aapisha Mawaziri, Awapa Maagizo Mazito – Video

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, amewashukuru mawaziri wote...

READ MORE

Yanga Yaibua Upya Sakata la Morrison, Yatoa Tamko TFF – Video

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa una wasiwasi kuhusu kesi ya mchezaji wao, Bernard Morrison, huenda ikabadilishwa kwa...

READ MORE

Live: CCM Yapitisha Majina Haya Umeya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha majina ya madiwani walioomba kuwania umeya wa majiji, manispaa na wenyeviti wa halmashauri katika maeneo...

READ MORE

Yanga Yatangaza Bosi Mpya, Yaanika Sakata la Morrison, Kabwili – Video

  UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC, leo Novemba 20 umemtangaza Hajji Mfikirwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu  mpya ambaye anachukua...

READ MORE

Mwinyi Atangaza Mawaziri, Awaandikia ACT Wazalendo – Video

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza baraza jipya la mawaziri leo...

READ MORE

JPM: Lukuvi, Kabudi Hamtakuwa Marais, Jiandaeni Kisaikolojia – Video

RAIS John  Magufuli amesema kuwa hadhani kama chama chake kitapitisha mgombea wa urais anayezidi umri wa miaka 60 katika uchaguzi...

READ MORE

Magufuli Amwapisha Majaliwa, Kabudi & Mpango – Video

RAIS John Magufuli amemuapisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya kuteuliwa Novemba 12, 2020 na kuthibitishwa na...

READ MORE

JPM: Uwaziri Mkuu Hauna ‘Guarantee’, Nampa Pole Majaliwa… – Video

RAIS John Magufuli amesema kuwa kazi ya Uwaziri Mkuu haina dhamana kwamba kila atakayeteuliwa atakaa kwa miaka mitano kwani anaweza...

READ MORE

#Live: Mkutano Mkubwa wa Injili: Mapambano Hadi Ushindi – Sehemu ya 8

Karibu kutazama mkutano mkubwa wa MAPAMBANO HADI USHINDI LIVE. Subscribe Channel ya Mkutano: https://www.youtube.com/channel/UCQd2… Muda ni kuanzia saa 11:40 jioni...

READ MORE

Breaking: JPM Apendekeza Majaliwa Kuwa Waziri Mkuu – Video

RAIS John  Magufuli amempendekeza na kumteua tena Mbunge wa Ruangwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu...

READ MORE

Spika Asitisha Bunge Ili Kupokea ‘Bahasha’ ya Rais – Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amesitisha shughuli za Bunge kwa muda wa nusu saa...

READ MORE

Mrembo Afanyiwa Kitu Mbaya Kisa Mapenzi – Video

Binti Angel Peter ameendelea kuuguza makovu aliyoyapata baada ya kuchanwa na viwembe na wasichana ambao walikuwa wamelenga kumfanyia tukio hilo...

READ MORE

Mama Huyu Alikuwa Mzima, Ona Sasa Hana Mguu – Video

Kabla hujafa hujaumbika ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mateso makali anayopitia Amina baada ya kukatwa mguu wake mmoja kisa kansa....

READ MORE

Magufuli Amtumia Ujumbe Biden

RAIS John Magufuli amempongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden, na makamu wake Kamala Harris kwa kushinda katika uchaguzi mkuu...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Kiteto Apata Ajali Mbaya – Video

Katibu wa CCM Wilayani Kiteto mkoani Manyara, Daniel Mhina, amenusurika kifo wakati akiendesha gari kutoka kiteteto kuelekea Dodoma. Mkuu wa...

READ MORE

Wabunge Waendelea Kuapishwa na Spika Ndugai Dodoma – Video

BUNGE la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoanza rasmi leo Jumanne, Novemba 10, 2020, linaendelea jioni hii ambapo...

READ MORE

Mwl. Kashasha: Chama ataisaidia Yanga – Video

MTANGAZAJI na mchambuzi maarufu wa masuala ya michezo nchini, Alex Kashasha ‘Mwalimu Kashasha’, amekiri kuwa kama Yanga itafanikiwa kumsajili kiungo...

READ MORE

Babu Tale Aapishwa Bungeni Dodoma – Video

MBUNGE wa Morogoro Vijijini Kusini-Mashariki, Hamis Taletale ‘Babu Tale’, akila kiapo cha kuwa Mbunge wa Bunge la 12 la Jamhuri...

READ MORE

Global Yamshangaza Kashasha, Asema ‘Sikujua Kabisa’! – Video

MCHAMBUZI nguli wa masuala ya soka nchini, kwenye kituo cha radio cha TBC Taifa, Mwalimu Alex Kashasha, amefunguka kuwa, hakuwahi...

READ MORE

Mwl. Kashasha Afungukia Bao Lake Bora Ligi Kuu Bara – Video

  KWA mara ya kwanza, mchambuzi mahiri wa masuala ya soka, maarufu kama Mwalimu Kashasha, ametembelea ofisi za Global Group...

READ MORE

Live: Bunge la 12 Laanza Dodoma, Tazama Kinachofanyika Leo – Video

KIKAO cha kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 12 kinatarajiwa kufanyika leo jijini Dodoma baada ya kukamilika kwa...

READ MORE

JPM Amwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemwapisha Profesa Adelardus Kilangi, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, leo...

READ MORE

🔴#Live: Ufunguzi wa Mkutano Mkubwa wa Injili wa Mapambano Hadi Ushindi

Karibu sana kutazama mkutano mkubwa wa injili wa MAPAMBANO HADI USHINDI utakaorushwa moja kwa moja (LIVE) kupitia channel hii. Muda...

READ MORE

Chama, Kagere Kuikosa Yanga, Bocco Atoa Kauli Ngumu – Video

KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vanderbroek na Nahodha wake, John Bocco, wamezungumza na wanahabari leo Novemba 06, kuelekea mchezo wao...

READ MORE

Mama Amwaga Machozi Akisimulia Ulemavu wa Mwanaye – Video

Mtoto Ally mwenye umri wa miaka 10 ametelekezwa na baba yake mzazi baada ya kuzaliwa na ulemavu wa viungo huku...

READ MORE

Zitto Kabwe, Freeman Mbowe Waripoti Polisi

Mwenyekiti Chadema Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe pamoja na wajumbe watatu wa kamati kuu wameripoti kituo...

READ MORE

Mwinyi Aapishwa Rais wa Zanzibar – Video

  ALIYEKUWA rais mteule  wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, leo Novemba 2, 2020, ameapishwa  kuwa rais wa awamu...

READ MORE

Dodoma: JPM Akabidhiwa Cheti cha Ushindi wa Urais -Video

RAIS John Magufuli ameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 na kubainisha...

READ MORE

Live Updates: NEC Ikitangaza Matokeo ya Urais Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliyofanyika juzi, oktoba 28, 2020 nchi nzima.  

READ MORE

Magufuli, Mkewe Wapiga Kura Chamwino -(Picha +Video)

ZOEZI la kupiga kura linaendelea katika maeneo mbalimbali nchi nzima, ambapo watu wengi wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura tangu...

READ MORE

Tarimba Alivyopiga Kura Kinondoni – Video

MGOMBEA ubunge (CCM) katika Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba, amepiga kura leo Oktoba 28, 2020,  ambapo amewataka wananchi kujitokeza kwa...

READ MORE