WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Jumatatu, Oktoba 04, 2021 ameshiriki kongamano la tano la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi lililofanyika...
READ MOREWANAWAEKE katika kata ya Shilela halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wamewaomba wanaume kubadilika na kuacha kuwafanyia ukatili wa...
READ MOREWATAFITI Watafiti kutoka Makumbusho ya Taifa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na wa nchini Ujerumani, wamegundua masalia mapya...
READ MOREBENKI ya NMB imerejea na promosheni ya Bonge la Mpango awamu ya pili ambapo kwa sasa imewatengea washindi zawadi...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera jana Oktoba 1, 2021 akiwa katika Kijiji cha Ihahi Mbarali amewatahadharisha wazee kujiepusha...
READ MORESERIKALI imesema Mkoa wa Morogoro umepata Shilingi Bilioni 1.637 za Tozo ya Miamala ya Simu kwa ajili ya kujenga vituo...
READ MOREKAIMU Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Arusha ASP Sunday Ibrahim, amemzuia dereva wa basi la Arusha Express,...
READ MOREBasi la Kampuni ya Emigrace lenye namba za usajili T 703 DLG linalofanya safari zake kati ya Babati na Dar...
READ MORERAIS Samia Suluhu Hassan amehoji sababu ya ukosefu wa maadili kwa vijana licha kuwapo Chama cha Skauti, Girl Guides na...
READ MORENi wazi kuwa kwa asilimia kubwa ya wakazi wa Dar es Salaam ama wameona mitaani au kwenye mitandao ya kijamii...
READ MOREChama cha Skauti Tanzania, kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kukirudisha chama hicho katika bajeti ya Serikali ili kiweze kujiendesha. ...
READ MOREJeshi la Polisi mkoa wa Simiyu, linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 49, kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake...
READ MOREMAGRETH Pascal ni Mrembo mwenye umri wa miaka 21 mkazi wa Babati mkoani Manyara, amefunguka juu ya kazi yake anayoifanya...
READ MOREMLEMAVU wa miguu, Majami James (57), amepoteza maisha baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kamba ya katani kwenye mti, nyuma ya...
READ MOREKumiliki gari zuri, yawezekana ni ndoto ya kila mtu duniani, pamoja na mambo mengine kama nyumba, ardhi, kazi na vitu...
READ MORERAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema aliapa kuwatumikia wananchi wote hivyo hana ubaguzi kutokana na jinsi, dini au...
READ MOREKESI inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam Lusubilo Mwakabibi na mwenzake Edward Haule ambaye alikuwa...
READ MORENAIBU WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni...
READ MOREHOTUBA ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania aliyoitoa Septemba 23 kwenye Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja...
READ MORESerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha, Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi Mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji, Ngarama Mapema kwa...
READ MOREKatika hali ya kustaajabisha, mfanyabiashara wa duka la simu mkoani Katavi Issa Kasili, amemfumania rafiki yake ambaye ni mfanyabiashara wa...
READ MOREKampumi za bima nchini zimetakiwa kuongeza Kasi ya utoaji wa elimu ya masuala ya bima kwa wananchi kabla ya...
READ MOREBaadhi ya madaktari ambao ni wanachama wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), wakishirikiana na wadau mbalimbali kutoa huduma za afya...
READ MOREMahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi inatarajia kutoa uamuzi Oktoba 19, 2021 wa kesi...
READ MOREKijana Melkezedik Robert mwenye umri wa miaka 35, mkazi wa kijiji cha Nyerezi, Arumeru mkoani Arusha, amekutwa amekufa huku...
READ MOREMOTO umezuka katika Shule ya Sekondari Nyehunge iliyoko katika Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoani Mwanza leo Jumatano, Septemba...
READ MOREJaji Mustapha Siyani anayesikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu amesitisha kwa muda kusikiliza...
READ MOREMWILI wa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William Ole Nasha unatarajiwa kuagwa kesho Bungeni Jijini Dodoma na...
READ MOREGari la Mbunge wa Mbozi, mkoani Songwe, George Mwenisongole aina ya Brevis lenye namba za usajiri T231 DDZ limechomwa...
READ MOREKATIKA kuwakumbusha wateja wao kuweka akiba ya maisha ya baadae, Benki ya NMB leo imezindua akaunti mpya inayoenda kwa jina...
READ MOREFikiri Madinda ambaye ni dereva wa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Mhe. William Tate Ole Nasha,...
READ MORESHAHIDI wa pili upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
READ MOREUTATA umeibuka alipo mmoja wa watuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi na kufadhili ugaidi inayomhusisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko...
READ MORESpika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, ametoa pole kwa familia, wabunge, ndugu, jamaa na...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mwanamke anapaswa kuheshimiwa katika jamii kutokana na majukumu makubwa...
READ MORE