×

Habari

Pichaz: Mvua yaua 200 China, milioni 16 wakosa makazi

Beijing, China MVUA kubwa isiyo ya kawaida imeendelea kunyesha katika Jiji la Beijing China na kusababisha mafuriko ambayo yameuwa watu...

READ MORE

Mshindi wa Nyumba Nelly Mwangosi Kukabidhiwa Mjengo J5

Mjengo atakaokabidhiwa Nelly Mwangosi, uliopo Salasala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Stori: Mwandishi Wetu, Wikienda YULE mshindi...

READ MORE

M-PESA ya Vodacom sasa kupatikana katika teknojia mpya ya G2

Mkurugenzi Mtendaji wa Financial Sector Deepening Trust (FSDT) Sosthenes Kewe (kushoto) akibadilishana mawazo na Afisa Mkuu wa biashara Idara ya...

READ MORE

Vikongwe wawili wauawa wakituhumiwaa kwa uchawi

Vikongwe wawili mke na mumewe wa Kitongoji cha Nyag’holongo, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, wameuawa kwa kutumia silaha za jadi...

READ MORE

Diwani shujaa aliyekwepa risasi sita akipambana na majambazi Moshi

Diwani wa Kata ya Kiborlon (Chadema) katika Manispaa ya Moshi, Frank Kagoma ameonyesha ujasiri wa hali ya juu alipopambana na...

READ MORE

Mwanamke agongwa na gari la ‘Freemason’

Stori: Dustan Shekidele, Wikienda MOROGORO: Wananchi wa Mtaa wa Mtawala Kata ya Mji Mpya Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamelizingira...

READ MORE

Gwajima amjibu Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba

Dar es Salaam Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemjibu katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf...

READ MORE

Alichokiandika Zitto Kuhusu Hotuba ya Mrema na Cheyo Jana

Zitto Kabwe. Kufuatia hotuba walizotoa Augustino Mrema na John Momose Cheyo jana katika Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani...

READ MORE

AUDIO: Kwaheri JK, Karibu Magufuli

Jana Julai 23, 2016 Rais Dokta John Magufuli alichaguliwa kwa asilimia 100 kuwa Mwenyekiti mpya wa Taifa wa chama tawala...

READ MORE

Kiongozi wa ISIS Auawa

KIONGOZI mkuu msaidizi wa kundi la ISIS, Hashim Nassif Jassem al-Hayali ameuawa kwenye Mji wa Mukhisa, Diyala, baada ya kushambuliwa...

READ MORE

Salva Kiir Akutana na Museveni Uganda

Na Leonard Msigwa/GPL Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ameitwa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kwenye Ikulu ya...

READ MORE

Mlipuko Waua 80 Afghanistan

Wizara ya afya  nchini Afghanistan imesema takribani watu 80 wameuawa na zaidi ya wengine 150 kujeruhiwa katika shambulio la kujitoa...

READ MORE

Wolper Arejea CCM

Wolper akitangaza sababu za kurejea CCM. Wolper akiongea na Mwenyekiti Mstaafu Mhe. Jakaya Kikwete. Wolper akiongea wakati wa hafla ya...

READ MORE

Rais Magufuli avunja rekodi ya Uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amevunja rekodi baada ya kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa...

READ MORE

Wizara ya Elimu Yafafanua Kuhusu Wanavyuo Wanaotakiwa Kwenda Field

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Simon Msanjila.

READ MORE

Licha ya Kukana Kumpiga Mnenguaji Wake, Koffi Atimuliwa Kenya

Nairobi, Kenya SAA chache baada ya kusambaa mitandaoni kwa video inayomuonesha gwiji wa muziki wa dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia...

READ MORE

Majina ya watahiniwa waliyochaguliwa kujiunga na vyuo, Cheti na Diploma

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza kuwa limetoa majina ya Watahiniwa waliyochaguliwa kujiunga na vyuo ngazi ya...

READ MORE

JK: Haikuwa rahisi kumshawishi JPM kuwa Mwenyekiti wa CCM

Mwenyekiti wa CCM anayemaliza muda wake anasema kuwa alitumia kila aina ya ushawishi ili Magufuli akubali kumpokea kijiti kabla ya...

READ MORE

Video: Koffi alivyompiga Dansa wake wa kike baada ya kutua Nairobi

Koffi Olomide akimpiga mateke mnenguaji wake. JANA Ijumaa Standard Media Digital ya Kenya ilitoa video ikionyesha Staa wa Muziki wa...

READ MORE

Mchina Adaiwa Kumshushia Kipigo Mtanzania Hadi Kumuua

Mr. Swii akimshushia kipigo kijana Elisha adi kukatisha uhai wake. Kijana mmoja aliyejukikana kwa jina moja (Elisha) mkazi wa Kabindi...

READ MORE

Taarifa Kuhusu Kufunguliwa kwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja NACTE

Baraza linapenda kutoa taarifa kuwa Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) umefunguliwa tena kuanzia tarehe 22 Julai 2016 ili kujaza...

READ MORE

Video: Undani meneja wa Diamond kudaiwa Mil. 250

Hamis Taletale ‘Babu Tale’. Andrew Carlos na Boniphace Ngumije, Risasi Jumamosi BAADA ya hivi karibuni Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

READ MORE

Uamuzi wa Bodi ya Mikopo Kuhusu Wanafunzi ambao hawajarejesha mikopo

Mnamo mwezi Machi, 2016, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilitoa notisi ya siku 60 ikiwataka wanufaika...

READ MORE

Majipu yakaa mkao wa kutumbuliwa

Mwandishi wetu, Risasi Jumamosi DODOMA: Huku leo Rais Dk John Magufuli akitarajiwa kukabidhiwa Uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka...

READ MORE

JPM Apitishwa na CCM Kugombea Uenyekiti

KIKAO cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma leo kimepitisha jina la Rais Dk. John Pombe Magufuli...

READ MORE

Kisa nguo na kofia… amuua mdogo wake!

Kakamega TUKIO la aina yake limefanywa kijana Andrew Muganda (26) aliyeripotiwa kumpiga mdogo yake Wycliffe Shitanda (23) hadi kumuua, kisa kikidaiwa...

READ MORE

Tanzia; Komediani Ismail Makombe ‘Kundambanda’ afariki dunia

Marehemu enzi za uhai wake. Komediani ambaye pia alikuwa mgombea ubunge katika Jimbo la Masasi (CUF) kwenye uchaguzi Mkuu 2015,...

READ MORE

Shinda Simu Kali Mpya ya Tecno Camon C9 Kwa Kufanya Hivi

Kampuni Ya Tecno Mobile iliyozindua simu yake kali ya Camon C9 hivi karibuni ambayo kwa sasa inakimbiza kwa mauzo imekuja...

READ MORE

Udongo kaburi la Kanumba wauzwa mamilioni ya fedha

MAYASA MARIWATA, amani DAR ES SALAAM: Maajabu! Baada ya Gazeti la Risasi Mchanganyiko wiki iliyopita kuandika habari yenye kichwa; KABURI...

READ MORE

Kikao cha Kamati Kuu CCM Kilivyokuwa Dodoma Leo

Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Halmashauri...

READ MORE

Analipwa pesa kwa kubikiri watoto, kufanya ngono na wajane!

Eric Aniva ‘Fisi ‘ mtajika aliyewabikiri zaidi ya watoto 10. Malawi KATIKA hali ya kawaida, tamaduni nyingi kote duniani mwanamke...

READ MORE

DC wa Kinondoni apokea msaada wa madawati 500 toka Vodacom

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salam,Ally Salum akiwasisitiza jambo baadhi ya wanafunzi wa darasa la 4 wa...

READ MORE

Aliyekuwa Kocha wa Nigeria Stephen Keshi Kuzikwa Julai 29

MAZISHI ya aliyekuwa Kocha Mkuu na nahodha wa Timu ya Taifa ya Nigeria (Super Eagles) Stephen Keshi, aliyefariki Juni 8...

READ MORE

Paul Okoye Ampa Jina Mtoto Mgonjwa Hospitalini

MMOJA wa watoto wagonjwa katika hospitali ya Hearts of Gold Children Hospice iliyoko Surulere, Lagos, nchini Nigeria, ambayo inauguza watoto...

READ MORE

Mbuzi azaa kichanga chenye sura ya binadamu

  Nigeria HAYA ni maajabu mengine kuwahi kutokea duniani! Mbuzi alyekuwa na mimba amejifungua kiumbe ambacho kina sura kama ya...

READ MORE

Jumia Market Ceo In Dar… He Said This About E-Comemerce In TZ

On 24th June, 2016 Jumiamade a huge re-branding move, unifying the other AIG ventures to one brand known as JUMIA....

READ MORE

Kizimbani kwa wizi wa mabati, masufuria na mikeka Ofisi ya Waziri Mkuu

MAOFISA Ugavi wanne wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kitengo cha Maafa), wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar...

READ MORE

Kinana atoa ya Moyoni kuhusu kuendelea Kuwa Katibu Mkuu wa CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ametoa neno endapo Rais John Magufuli atamhitaji kuendelea na wadhifa huo,...

READ MORE

Orodha: Wanafunzi watakaoendelea UDOM, vyuo vingine, wasio na vigezo

Majina ya wanachuo waliokuwa wanasoma stashahada maalum ya ualimu chuo kikuu cha Dodoma waliopangiwa kurudi kwenye chuo hicho, wanaokwenda kwenye vyuo...

READ MORE

Mtumishi wa bandari ajinyonga

 Lucas Kazimoto enzi za uhai wake. Waandishi wetu, Amani DAR ES SALAAM: Mtumishi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Lucas...

READ MORE