×

Habari

Ndege ya EgyptAir Imeanguka Baharini – Rais Ufaransa

Ndege ya Shirika la EgyptAir iliyoaanguka baharini ikiwa na watu 69 leo. Ndugu na jamaa wa abiria waliokuwa kwenye ndege...

READ MORE

Kizaazaa Baada ya Abiria Mabasi ya DART Kushindwa Kukata Tiketi Kisa Umeme (Picha+Video)

Abiria wakiwa katika kituo cha mabasi yendayo haraka eneo la Kamata wakisubiri umeme urudi ili waweze kukata tiketi. Abiria wakiwa...

READ MORE

Ndege ya Mfalme Mswati Yazuiwa Canada

Mfalme wa Swaziland Mswati wa tatu akiwa na mmoja wa wake zake. NDEGE binafsi ya Mfalme wa Swaziland Mswati wa...

READ MORE

Ndege ya Misri Yatoweka Kwenye Rada na Abiria 69

Ndege ya Shirika la EgyptAir la Misri ina ya Airbus A320 iliyotoweka kwenye rada. Ndege ya Shirika la EgyptAir la...

READ MORE

Mshindi Wa Pikipiki Droo Ndogo Ya Mwisho Shinda Nyumba Apatikana

Msomaji wa magazeti ya Global akichanganya kuponi kumtafuta mmoja wa washindi. Msomaji akizidi kuchanganya kuponi hizo. Msomaji huyo akitaja jina...

READ MORE

Wateja Wa Vodacom Waendelea Kubadilisha Kadi Zao Za Simu Kufurahia Mtandao Wa 4G

  Wateja kampuni ya mawasiliano nchini Vodacom Tanzania wameendelea kubadilisha kadi zao za simu katika maduka ya kampuni hiyo jijini...

READ MORE

Linda Maisha ya Uwapendao na Accept Insurance

ACCEPT INSURANCE BROKERS TUNATOA HUDUMA ZA BIMA ZIFUATAZO: Bima za Magari / Pikipiki nk • Bima ndogo (Third Party • Bima...

READ MORE

Airtel Money Yazindua kampeni ya Mr Money kwa Wateja wake

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colasso akiongea wakati wa kutambulisha Mr Money anayehakikishia wateja na watumiaji wa huduma za...

READ MORE

Isome Hapa Hotuba ya Godbless Lema Iliyoleta Kizaazaa Bungeni

Msemaji Mkuu Wa Kambi Rasmi Ya Upinzani Bungeni Na Waziri Kivuli Wa Mambo Ya Ndani Ya Nchi, Godbless Jonathan Lema (Mb)....

READ MORE

Watuhumiwa Wa Ubakaji, Udhalilishaji Wapandishwa Kizimbani Moro

Watuhumiwa wa ubakaji Zuberi Thabit (wa kwanza kushoto) na Idd Adamu (wa pili kushoto) wakielekea kizimbani leo.   Watuhumiwa wakiwa...

READ MORE

Shuhudia picha 17 meli kubwa duniani kwa sasa

Pichani juu ni taswira za meli hiyo kubwa kuliko zote duniani. KAMA ulishawahi kuonana na meli kubwa duniani kisha ukalidhika...

READ MORE

Kizza Besigye Kupandishwa Kizimbani Kwa Uhaini Leo

Kizza Besigye. KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye asubuhi hii anatarajiwa kufikishwa mahakamani akikabiliwa na tuhuma za uhaini. Kizza...

READ MORE

Baada ya Sukari… Sasa Hofu Dola Kufichwa Yatanda

Rais John Pombe Magufuli. DAR ES SALAAM: Baada ya baadhi ya wafanyabiashara kumhujumu Rais John Pombe Magufuli kwa kuficha sukari...

READ MORE

Moto Wateketeza Mabweni Dar

Baadhi ya vifaa vya shule hiyo vikiwa vimeteketea kabisa. Moto ukiendelea kuteketeza vitanda. Baadhi ya vifaa vya wanafunzi vilivyookolewa. Wasamaria...

READ MORE

Mwenge wa Uhuru wazindua miradi Dar

Mwenge ulipowasili eneo la kituo cha daladala cha Mwanachi kutokea Kinondoni tayari kwa kupokelewa na Manispaa ya Wilaya ya Ilala...

READ MORE

Kutoka Kahama… Wanasiasa Washtukiwa

Mji wa Kahama KAHAMA: Umoja wa wafanyabiashara katika Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga wamewashtukia wanasiasa kwa tabia yao...

READ MORE

China: Dereva apigwa faini kwa kuendesha magari yaliyobebana

KATIKA kile kinachoonekana ni utani wa kuongezeka kwa magari katika barabara nchini China, dereva mmoja amepigwa faini kwa kuendesha lori...

READ MORE

Panya Road 75 Wakamatwa Mbande, Dar

Kamishna wa Jeshi la polisi Kanda ya Dar es Salaam, Simon Siro. Simon Siro Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda...

READ MORE

Abiria Wajeruhiwa Katika Ajali ya Daladala Dar

Pichani juu ni taswira za ajali hiyo. Watu kadhaa wamejeruhiwa leo mchana katika ajali ya daladala lililopinduka wakati likijaribu kumkwepa...

READ MORE

Mkenya Auawa Kwa Kipigo cha Polisi!

Kijana mfuasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya(CORD), Ben Ngari aliyeshambuliwa kinyama na polisi jana amefariki dunia kwa sababu ya...

READ MORE

Airtel Yatambulisha Mr. Money

Meneja wa Masoko wa Airtel Money, Moses James (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi usiku,...

READ MORE

Pichaz: Harmony of the Seas Ndiyo Meli Kubwa Zaidi Duniani

Owner: Miami-based Royal Caribbean International Ordered: December 2012 Builder: STX France, Saint-Nazaire Construction time: 32 months Cost: £800million Decks: 18...

READ MORE

Kassim Majaliwa Akutana na Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, Uingereza

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana  na Balozi wa Tanzania  nchini Uingereza, Dkt. Asha – Rose  Migiro kabla ya mazungumzo...

READ MORE

Kafulila Ashindwa Kesi Ya Uchaguzi Kigoma

Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR). Mahakama Kuu Kanda ya Tabora yatupilia mbali Kesi ya kupinga matokeo ya...

READ MORE

Naibu Waziri Kigwangala Azungumzia vipodozi feki

Wiki iliyopita tuliwaletea maswali na majibu ya Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Khamisi...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aondoka London Kurejea Nchini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wafanyakazi wa Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipoondoka kwenye...

READ MORE

Watuhumiwa Ubakaji Morogoro Wakamatwa, Wahojiwa!

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu. Mwandishi Wetu, Morogoro WATUHUMIWA wawili Zuberi Thabiti (30) na...

READ MORE

Wasiwasi wa Bomu Wawakumba Abiria wa Ndege ya Kwenda Manchester

Abiria wametakiwa kuondoka kwa dharura kutoka kwenye Ndege ya Shirika la Ryanair iliyokuwa safarini kuelekea Manchester, Uingereza kutokana na tishio...

READ MORE

Mauaji ya Watu 7 Sengerema… 12 Wakamatwa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi. Siku chache baada ya watu saba wa familia moja kuuawa kwa mapanga...

READ MORE

Video: Nape Afafanua Suala la Kurusha Live Vipindi vya Bunge

Sehemu ya Majumuisho ya Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akitolea ufafanuzi...

READ MORE

Bunge Laahirishwa Kupisha Mapitio ya Hotuba ya Upinzani Iliyozuiliwa

Godbless Lema Hotuba ya Godbless Lema, Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya...

READ MORE

Baba, mama wagombea maiti ya mtoto wao!

  Baba akiwa pembeni ya maiti ya mwanaye. STORI: DUSTAN SHEKIDELE, WIKIENDA MOROGORO: Mzozo mkali umeibuka kati ya baba aliyejulikana kwa jina la...

READ MORE

Zijue njia 10 za kuwa tajiri kama Dangote

Alhaji Aliko Dangote. BARANI Afrika kuna mtu anayetajwa kuwa tajiri namba moja akiwa na kitita cha Dola za Kimarekani bilioni 15.4 (zaidi ya Sh. trilioni...

READ MORE

Makonda: Wanawake Ndiyo Chanzo Cha Ufisadi Nchini

RC Makonda akizungumza na wananchi wa Vingunguti. Wananchi wakimsikiliza RC Makonda.   Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

Shambulio la kujitoa mhanga laua 14 Iraq

Sehemu ya kiwanda cha gesi ikiteketea baada ya shambulio hilo. Takribani watu 14 wamepoteza maisha huku zaidi ya 20 wakijeuhiwa...

READ MORE

Machinjio ya Vingunguti Kufunguliwa Kesho

Machinjio ya Vingunguti yaliyofungwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini (TFDA) kwa zaidi ya mwezi mmoja yanatarajiwa kufunguliwa siku...

READ MORE

Mkenya Adandia Helikopta na Kuning’inia, Apaa nayo Angani

Mwanamme mmoja katika Mji wa Bungoma, Magharibi mwa Kenya ameshangaza ulimwengu baada ya kudandia helikopta ambayo ilipaa angani na kuondoka...

READ MORE

Ruvuma: RC Aachunguza Kifo cha Mlinzi

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma (RC), Benson Mpesya. Stori: Stephano Mango, RISASI JUMAMOSI Ruvuma: Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma...

READ MORE

JPM Alivyofanya Ziara ya Kushtukiza Uwanja wa Ndege Dar

Rais John Pombe Magufuli akitoa maelekezo alipofanya ziara ya kushtukiza katika kitengo cha ukaguzi wa mizigo na abiria kwenye uwanja wa ndege...

READ MORE