×

Habari

Ndugu 2 waliojilipua Brussels jana watambuliwa

  Ndugu wawili waliojilipua katika milipuko ya kujitoa mhanga jana Ubelgiji Khalid na Brahim el-Bakraoui waliovaa nguo nyeusi. Mwingine kulia anadaiwa...

READ MORE

Meja Jenerali Mstaafu January Kisanko afariki

Meja Jenerali January Claudio Kisanko (mstaafu) enzi za uhai wake. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza...

READ MORE

Maajabu ya Paka Mwizi wa Nguo za Ndani

Nguo za ndani na soksi zilizoibwa na paka huyo anayeitwa Brigit Hamilton, New Zealand PAKA mmoja huko Hamilton nchini Uholanzi...

READ MORE

Ratiba ya mazishi ya baba mzazi wa Mbunge John Mnyika

Baba mzazi wa Mbunge John Mnyika, Mzee John Michael Dalali enzi za uhai wake. Leo Jumatano 23/03/2016 Mwili unapokelewa nyumbani,...

READ MORE

Tuhuma za Ufisadi, Zitto, Bashe Wajiuzulu Ujumbe Kamati ya Bunge

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishutumu Kamati ya Bunge yaHuduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna...

READ MORE

Updates: Uchaguzi wa Meya Jiji la Dar

Mh. Edward Lowassa na Godbless Lema wakiwasili Ukumbi wa Karimjee kunakofanyika uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es salaam...

READ MORE

Diwani Aanguka Kwenye Mti, Afariki Dunia

Diwani pekee wa kutoka Chama Cha Mapinzuzi (CCM) katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Kata ya Ngarenanyuki, Naftali Mbise amefariki dunia...

READ MORE

Tanzia: Mkuu wa Wilaya ya Njombe Afariki Dunia

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe na Mtangazaji wa zamani wa Radio Tanzania (RTD), Bi. Sarah Dumba amefariki dunia ghafla...

READ MORE

NMB, Fastjet kuwawezesha wateja kununua tiketi kwa urahisi

Kaimu Afisa Mkuu wa wateja wadogo na kati NMB (kulia)- Bw. Abdulmajid Nsekela akifurahia pamoja na Mtendaji Mkuu wa NMB...

READ MORE

Bi. Kawawa ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Habari Maelezo

Bi. Zamaradi Kawawa. Bi. Zamaradi Kawawa ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo akichukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa...

READ MORE

Ajali yaua watano na kujeruhi nane Bagamoyo

    Pichani juu ni taswira mbalimbali kutoka eneo hilo la ajali. WATU watano wamefariki dunia huku wengine nane wakijeruhiwa, katika...

READ MORE

Mwandishi Salma Said apatikana Dar

Mwandishi wa Mwananchi na DW, Salma Said. SIKU tatu baada ya mwandishi wa Mwananchi na DW, Salma Said kutoweka, jana...

READ MORE

Taarifa kuhusu kutoweka Mwandishi Salma Said

Mwandishi Bi. Salma Said. TAARIFA KWA UMMA KUTOWEKA KWA MWANDISHI SALMA SAID Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), wachapishaji wa...

READ MORE

Ole sendeka ndiye msemaji mpya wa CCM

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtangaza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Christopher Ole Sendeka kuwa Msemaji...

READ MORE

Uchaguzi Zanzibar; Dk Shein, Balozi Seif wapiga kura zao

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi...

READ MORE

Uchaguzi Zanzibar… NEC Haitambui Kujitoa kwa CUF

Mkurugenzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Bw. Ramadhani Kailima. Tume  ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haitambui  kujitoa kwa Chama...

READ MORE

Paul Makonda Azungumza na Watendaji wa jiji la Dar

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji hilo leo katika Ukumbi...

READ MORE

Kwa malazi ya ukweli, karibu Sha Villa Hotel

–>Kwa malazi bora, yenye utulivu na hewa safi, karibu Sha Villa Hotel iliyopo Tegeta jijini Dar. –>Hoteli ipo Tegeta-Nyaishozi, Opposite...

READ MORE

Amfanyia Upasuaji Dada’ke, Akuta Mapacha

Agnes akimfanyia upasuaji dada yake ili atoe watoto baada ya mkunga na wauguzi kukataa kutoa huduma. Douala, Cameroon Na Joe...

READ MORE

JWTZ watoa taarifa kuhusu uvumi ulioenea mitandaoni

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya uvumi ulioenea katika mitandao ya...

READ MORE

Fursa ya kuwa mwandishi na mtangazaji yapatikana MSPS

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Mlimani Schoool of Professional Studies (MSPS) cha jijini Dar es Salaam, kimetangaza fursa ya mafunzo...

READ MORE

Tanzania mojawapo ya nchi 10 zisizo na furaha duniani

TANZANIA ni miongoni mwa nchi kumi za mwisho kwa viwango vya furaha kwa mujibu wa Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani...

READ MORE

Ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Wilayani Chato

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha gari la wagonjwa likiwa ni moja kati ya mawili yaliyotolewa msaada na Bibi Merete Trolle...

READ MORE

Waziri Mkuu atembelea Kambi ya Wakimbizi Rumasi-Lukole, Kagera

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini wakati alipowasili katika kambi ya Rumasi-Lukole iliyopo wilayani Ngara, mkoani Kagera,...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Akutana na Jaji Warioba

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akimsikiliza kwa makini Jaji Joseph Warioba alipomtembelea ofisini kwake leo...

READ MORE

Makonda Ataka Ripoti Zipatikane Ofisini Kwake Baada ya Saa 24

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto) akizungumza na watendaji wa halmshauri za jiji la Dar es...

READ MORE

Ndege ya Jeshi la Ecuador yaanguka na kuua 22

NDEGE ya Jeshi la Ecuador imeanguka katika misitu ya Amazon na kuua watu wote 22 waliokuwa ndani ya ndege hiyo,...

READ MORE

Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CUF Akamatwa Zanzibar

Kaimu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa CUF, Hamad Masoud amekamatwa na Polisi Visiwani Zanzibar leo asubuhi....

READ MORE

Wanachama wa LAPF Kufaidika na Mkopo wa Anza Maisha

Kaimu afisa Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja Wadogo (Chief Retail Banking) – Abdulmajid Nsekela akitoa wasilisho juu ya huduma...

READ MORE

Shinda Nyumba Yawafikia Wakazi wa Bunju na Boko

Mkazi wa Bunju, Peter Mwita (kulia) akipewa maelekezo muuzaji wa Magazeti ya Global Publishers, Khadija  jinsi ya kushiriki bahati nasibu...

READ MORE

Etihad Waongeza Ndege ya Mizigo

Kitengo cha mizigo cha Etihad kimepokea ndege mpya aina ya Boeing 777 ambayo itawezesha kitengo cha mizigo cha shirika la...

READ MORE

Uzinduzi wa Duka la Airtel Mwanza Mall leo‏

Kamanda wa Polisi Wilaya ya ilemala ,  Sweetbert Kisha akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa kitengo cha huduma...

READ MORE

T.I Amptupia Dongo Donald Trump

T.I na Bw. Donald Trump STORI kubwa kwa sasa nchini Marekani ni kuhusu vuguvugu la Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo...

READ MORE

JPM: Wawekeni Ndani Viongozi Wanaonyanyasa Wananchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Magufuli akihutubia Wakuu wa Mikoa wapya 26 na Watumishi wengine wa...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Wakuu wa Mikoa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu kuwa Mkuu...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Siku 15 Wakuu Wa Mikoa Kufuta Mishahara Hewa (Video)

Na Jacquiline Mrisho, Dar es Salaam RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapa siku...

READ MORE