×

Habari

Namna Nilivyokutana na Muujiza wa Kupata Kazi Baada ya Kusota Sana

Hakuna ubishi kuwa hapa duniani, msingi wa maisha ya binadamu ni kazi maana ndipo ilipofichwa riziki yenyewe, hakuna mtu anaweza...

READ MORE

Vigogo watakaohudhuria mazishi ya Papa Fransis wajulikana

Umati mkubwa unatarajiwa Jumamosi na watu wengi kama 250,000 wanatarajiwa kuhudhuria mazishi ya Papa Francis. Wakuu wengi wa nchi na...

READ MORE

Jeshi la Polisi Simiyu Lamfikisha Mahakamani Binti kwa Kudai ni Askari JWTZ – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani binti aliyejitambulisha kwa jina la Pendo Paul Elikana (19), mkazi wa Kijiji...

READ MORE

Waziri Dkt. Tax Aishukuru JKT Kwa Kutekeleza Agizo la Serikali Kuacha kutumia Nishati Chafu ya kuni

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesifu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania na Jeshi...

READ MORE

Papa Francisko Aagwa kwa Heshima, Mazishi Kufanyika Jumamosi Aprili 26, 2025 – Live Video

Jeneza lenye mwili wa Papa Francisko limehamishwa kutoka nyumba ya Mtakatifu Marta alipokuwa akiishi hadi kwenye Kanisa la Basilika la...

READ MORE

Picha: Rais Mwinyi Apongezwa Na Zenji One Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Zenji One leo Ofisini kwake Ikulu...

READ MORE

Rais Dkt Samia Azindua Toleo La Sheria Zilizofanyiwa Urekebu La Mwaka 2023 – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizinduza Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023...

READ MORE

Jisajili, Weka Amana Na Cheza – Shinda Samsung A25 Mpya Kabisa!

Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake burudani iliyojaa nafasi za ushindi wa kweli! Kupitia promosheni yao mpya kabambe, Meridianbet inakupa nafasi...

READ MORE

Mwili wa Papa Francisko Wapelekwa Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro kwa Heshima za Mwisho – Live Video

Jeneza lenye mwili wa Papa Francisko limehamishwa kutoka nyumba ya Mtakatifu Marta alipokuwa akiishi hadi kwenye Kanisa la Basilika la...

READ MORE

Waziri Gwajima: Mwijaku Atahojiwa Sakata la Udhalilishaji wa Mwafunzi

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum,  Dkt. Dorothy Gwajima Ndugu Wananchi, Napenda kuwakumbusha kuhusu taarifa yangu...

READ MORE

Mchengerwa Ataja Madudu Ya Gambo ”Posho Alichukua Na Kikao Hakushiriki” – Video

Msikilize Waziri Mchengerwa akiwasilisha maelezo bungeni kukanusha tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo kuhusu madai ya ufisadi jijini...

READ MORE

Mchakato wa Kumchagua Papa Mpya Waanza Vatican, Adaiwa Kutoka Afrika au Asia

Kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis kimeilazimisha Vatican kuitisha kikao cha kihistoria cha kumchagua mrithi wake; lakini swali...

READ MORE

Serikali Yawekeza Bilioni 66.57 Kukabiliana na Uhaba wa Vyoo Mashuleni

KATIKA mwaka 2025/26, Serikali imetenga Sh.Bilioni 66.57 kwa ajili ya kujenga matundu 28,580 ya vyoo katika shule za msingi na...

READ MORE

Ushindi Rahisi na Kasino ya Roulette| Cheza Uwe Tajiri

Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia...

READ MORE

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche, Akamatwa na Polisi Kariakoo

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekamatwa na Jeshi la Polisi, Kariakoo jijini Dar es...

READ MORE

Rais Samia Ampongeza Simbu kwa Kung’ara Boston Marathon

Rais Samia Suluhu Hassan amempongeza mwanariadha Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika mashindano ya kimataifa ya Mbio za...

READ MORE

Wananchi Kunufaika na Huduma ya Mpya ya Stanbic ya eMkopo

Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi Benki ya Stanbic, Emmanuel Mahodanga (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya eMkopo...

READ MORE

Bodaboda, Wamachinga, na Walemavu Wagomea Maandamano ya Aprili 24

Umoja wa Maafisa Usafishaji maarufu kama waendesha Bodaboda na Bajaj, Umoja wa Wamachinga na Wenye Uhitaji maalum (Walemavu) wote kwa...

READ MORE

Serikali ya Burkina Faso Yazima Njama ya Mapinduzi Dhidi ya Kapteni Traoré

Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema kuwa imezuia “njama kubwa” ya kumpindua kiongozi wa jeshi, Kapteni Ibrahim Traoré, ambapo...

READ MORE

Kasino Yenye Hadithi za Kale Unaipata Meridianbet

Zamani kulikuwa na utaratibu na utamaduni wa kusimuliana hadithi, mababu na bibi zetu walikuwa ndiyo vinara wa kutoa stori za...

READ MORE

Bibi wa Miaka 60 Ajifungua Baada ya Kuitwa Aliyelaaniwa

Katikati ya mji wa Pwani kinatokea kisa kimoja ambapo mwanamke mmoja, Lulu, 60, amekuwa gumzo na kuwashangaza wenyeji wa eneo...

READ MORE

Fahamu Mchakato Wa Kumchagua Papa Mpya Katika Kanisa Katoliki

Mchakato wa kumchagua Papa mpya, ni mchakato wenye muundo wa hali ya juu na wa siri unaofanywa na Baraza la...

READ MORE

CHADEMA Yamlilia Papa, Yamsifu kwa Kusimamia Haki na Utu

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Baba Mtakatifu Francisko kilichotokea leo Aprili 21,...

READ MORE

Chama cha Kabila chasimamishwa DRC baada ya mali zake kuvamiwa

Serikali ya Jamhuru ya kidemokrasia ya Congo, DRC, imesema imesimamisha chama cha Rais wa zamani Joseph Kabila, siku chache baada...

READ MORE

Nguvu za mungu wa Kigiriki Zeus Unazipata Meridianbet Kasino

Kabla sijakupa kisa cha miungu ya Kigiriki hususani mungu Zeus, unapaswa kuelewa kwamba kwa kutambua historia ya kale hususani ya...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Baba Mtakatifu Francisko

Rais Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi wengine duniani kutuma salamu za pole kufuatia kifo cha Kiongozi wa Kanisa katoliki...

READ MORE

Papa Francis Afariki dunia Akiwa na Umri wa Miaka 88

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88, hatua inayofunga ukurasa...

READ MORE

Mama wa Kizungu Amlilia Rais Samia Adai Kunyanyaswa Kesi Yakwama Polisi Miezi 6 Bila Hatua- Video

Muwekezaji kutoka Ulaya, Siriviea Vrascam, amefichua hali ya kusikitisha aliyoipitia baada ya kudai kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia na mwanaume aliyejitambulisha...

READ MORE

Meridianbet Yaja Kivingine, Shinda Simu Mpya Ya Samsung A25 Kila Wiki!

Kampuni bora ya michezo ya kubashiri Tanzania, Meridianbet, kwa mara nyingine inazidi kuwapendezesha wateja wake kwa promosheni mpya inayobeba furaha,...

READ MORE

Mtoto Miaka 3 Wa Askari Magereza Afariki Dunia Kwa Kusombwa Na Maji Mtoni – Video

Mtoto wa kiume, Samiu Salim, mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, amefariki dunia baada ya kuzama kwenye maji ya...

READ MORE

Waziri Gwajima Akerwa na Udhalilishaji wa Mabinti Chuoni, Achukua Hatua

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza kusikitishwa juu ya kitendo cha mabinti...

READ MORE

Global Group Tuwatakia waumini wa dini ya Kikristo Pasaka Njema

Uongozi na wafanyakazi wa Global Group, wanawatakia waumini wote wa dini ya Kikristo Pasaka Njema. Tufuatilie kupitia YouTube ya Global...

READ MORE

Wananchi Ludewa Watakiwa Kuwa Mabalozi Katika Uhifadhi wa Misitu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka wananchi Ludewa kuwa mabalozi katika uhifadhi wa misitu...

READ MORE

Mazishi ya Aliyekuwa Msanii wa Filamu, Carina Katika Makaburi ya Kisutu (Picha +Video)

Mwanadada Hawa Ibrahim almaarufu Carina, amezikwa leo kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kufikwa na mauti...

READ MORE

Jokate Awaongoza Maelfu ya Vijana Kumuunga Mkono Dkt. Samia

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo akiongoza Matembezi ya Maelfu ya...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada wa Vifaa vya Usafi kwa Wakazi wa Mbezi

Kama ilivyo kawaida ya mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet kurejesha kwenye jamii, leo hii waliamua kuwageukia wakazi wa Mbezi Juu...

READ MORE

JWTZ na Jeshi la India Wahitimisha Mazoezi ya AIKAYME

Zoezi  la Africa India Key Maritime (AIKEYME) limehitimishwa kwa mafanikio makubwa ambapo Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...

READ MORE

Marekani Yatishia Kujiondoa Kwenye Mazungumzo ya Amani ya Ukraine na Urusi

Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na...

READ MORE

Serikali yatangaza kanuni mpya za Maadili ya Uchaguzi wa 2025

DODOMA-Serikali kupitia Gazeti la Serikali Tangazo la Serikali Na. 249 la Mwaka 2025 imetangaza rasmi Kanuni za Maadili ya Uchaguzi...

READ MORE

Rais Samia Kuwa Mgeni Rasmi Uzinduzi Benki ya Ushirika Dodoma

MWENYEKITI wa Bodi ya Benki ya Ushirika (COOP Bank) Prof. Gervas Machimu amesema maandalizi ya uzinduzi wa Benki hiyo yanaendelea...

READ MORE