×

Habari

Naibu Spika Zungu na Profesa Janabi Wapokea Msaada wa Vifaa Vyenye Thamani ya Zaidi ya TSh Bilioni 2.55

Dar es Salaam, Tanzania – Aprili 2025 – Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge...

READ MORE

Global Group Tunawatakia waumini wa dini ya Kikristo Ijumaa Kuu Njema

Uongozi na wafanyakazi wa Global Group wanawatakia waumini wote wa dini ya Kikristo Ijumaa Kuu Njema. “Kama vile mimi nilivyowapenda...

READ MORE

Msemaji wa White House: Msimamo wa Trump Kuhusu Canada Haujabadilika

Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani Donald Trump bado ana nia ya kuiunganisha Canada na...

READ MORE

Kikwete awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Rais Kapteni Ibrahim Traoré

  MJUMBE Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa...

READ MORE

Tap Kibingwa Yahitimishwa Wananchi Wakinufaika na Mamilioni

Dar es Salaam, Tanzania – Ijumaa, 19 Aprili 2025: Benki ya Stanbic Tanzania, kwa kushirikiana na Visa, imehitimisha rasmi kampeni...

READ MORE

Simbachawene: Serikali Haiwezi Kubadili Mfumo kwa Shinikizo la Watu Wachache

Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema...

READ MORE

Mkuu wa JKT Amshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mafunzo ya JKT

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele, ameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa...

READ MORE

Vodacom, Jubilee Allianz Tanzania wajipanga ‘Kuinogesha’ NBC Dodoma Marathon, Wakabidhiwa ‘Kits’.

Wadhamini wa mbio za NBC Dodoma Marathon Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania na Kampuni ya Bima ya Jubilee Allianz...

READ MORE

Makalla: Uboreshaji wa Bandari Umeongeza Mapato na Kasi ya Uondoshaji Makontena Bandarini

.   Asema Zaidi ya  shilingi Bilioni 432 zimewekezwa ununuzi vifaa vya kisasa na mifumo •Siku za kuondosha mskasha zimepungua kutoka...

READ MORE

Hali ya Daraja la Somanga, Mtama wilayani Kilwa mkoani Lindi – Picha

Hali ya Daraja la Somanga- Mtama wilayani Kilwa mkoani Lindi likitengenezwa baada ya daraja hilo kukatika jana majira ya asubuhi...

READ MORE

China na Iran Wazidi Kuimarisha Ushirikiano Kufuatia Vikwazo vya Marekani

Baada ya Marekani kuviwekea vikwazo kiwanda cha kusafisha mafuta cha China kwa madai ya kununua mafuta ya Iran, Inan na...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Promosheni Mpya – Shinda Simu Mpya Ya Samsung A25!

Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, inawaletea wateja wake promosheni kabambe ya kushinda simu mpya ya Samsung A25!...

READ MORE

Rais Mwinyi: Tutangaze Fursa Za Uwekezaji Na Kuzingatia Diplomasia Ya Uchumi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika Nchi mbalimbali...

READ MORE

Mchengerwa: Vipaumbele 14 Vya Tamisemi Hivi Hapa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema Wizara yake imepanga kutekeleza vipaumbele 14 katika mpango wa bajeti wa...

READ MORE

Dk. Kimei Aweka Rekodi ya Utendaji Vunjo, Wananchi Wampa Maua Yake

MBUNGE wa Jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei ametajwa kuwa kinara wa kuzungumzia mahitaji ya wananchi kwa kuwa miongoni mwa...

READ MORE

Kikwete awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Rais Jenerali Abdourahamane Tchiani

  Rais Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo na...

READ MORE

Mrembo Asimulia Jinsi Mahakama Ilivyoamuru Mtoto Akapimwe DNA

Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 17, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

JWTZ Lasaidia Huduma Tiba na Afya Jamhuri ya Afrika ya Kati

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limechangia huduma tiba na afya kwenye hospitali ya Jiji la Berberati iliyoko nchini...

READ MORE

Majaliwa Aipa Maagizo Tanroads Ukarabati Wa Barabara Na Madaraja

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mameneja wa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) kufanya ukaguzi wa mara kwa mara...

READ MORE

Mrisho Gambo Aibua Tuhuma Nzito Bungeni, Spika Tulia Aaingilia Kati – Video

Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, ameeleza kuwepo kwa dalili za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa jengo la...

READ MORE

Serikali Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Watumishi wa Umma Walioondolewa kwa Vyeti Feki

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa ufafanuzi wa habari zilizotolewa na Gazeti la Rada...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Aongoza Mazishi ya Mkurugenzi wa TANESCO – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko aongoza Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme...

READ MORE

UN: Kati ya Wakimbizi 6 Duniani, Mmoja ni Msudan

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, Kanda ya Afrika Mashariki, Pembe ya Afrika na Maziwa...

READ MORE

Majaliwa, Ulega na Dkt. Tax Wakagua Miundombinu Iliyoathirika Somanga

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asubuhi Hii Aprili 16, 2025 amewasili eneo la Somanga kukagua Miundombinu ya barabara kuu ya Dar...

READ MORE

JK Awasilisha Ujumbe Maalum Kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo

Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), Mhe. COLLINET MAKOSSO Anatole. Mhe....

READ MORE

Mwili wa Mwigizaji Caren ‘Carina’ Kuwasili Nchini Aprili 18 – Video

Familia ya marehemu Carina, imeeleza kuwa mwili wa ndugu yao aliyefariki dunia nchini India akiwa anapatiwa matibabu, unatarajiwa kuletwa nchini...

READ MORE

CCM Yafanya Marekebisho Juu ya Ratiba ya Mchakato Wa Ndani wa Uteuzi wa Wagombe Ubunge na Udiwani

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya marekebisho juu ya ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya...

READ MORE

Hakuna sekta itakayokosa fedha kutokana na mabadiliko ya sera-Dkt.Nchemba

DODOMA-Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa hakutakuwa na sekta itakayokosa fedha kwa sababu ya mabadiliko ya sera ya baadhi ya mataifa zinazolenga...

READ MORE

Waziri Mkuu Ampongeza Rais Dkt. Samia Mafanikio Miaka Minne

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mafanikio yaliyopatikana katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Rais Samia Ameamua Kuifungua Mikoa Ya Kusini Kiuchumi

MTWARA: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla Rais Samia...

READ MORE

Dkt. Philip Mpango: Serikali Itaendelea Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuboresha...

READ MORE

Kikwete Awakilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Waziri Mkuu wa Congo

Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum...

READ MORE

Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar Yaandaa Mkutano wa Uwekezaji

Dar es Salaam, Tanzania –Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imetangaza rasmi Mkutano ujao wa Uwekezaji waVitega Uchumi Zanzibar 2025,...

READ MORE

Chadema: INEC Haina Mamlaka ya Kuiondoa Kwenye Uchaguzi – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Aprili 15, 2025 kimepinga vikali kauli ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Israel akiri Aizungumzia Hamas kivitani

Mkuu mpya wa jeshi la Israel ameonya kuwa, vikosi vya jeshi la utawala huo vinakosa nguvu kazi na rasilimali za...

READ MORE

Breaking News: Carina Afariki Dunia Nchini India

Habari zilizotufilia hivi punde, zinaeleza kuwa mwanadada Carolina Hawa almaarufu Carina aliyekuwa akitibiwa nchini India, amefariki dunia. Taarifa za awali...

READ MORE

Huyu Mwanamke Amenisingizia Mambo Mabaya Sana

Mimi ni kijana ambaye najishughulisha na biashara mbalimbali, katika maisha yangu nimejifunza kuwa mtu ambaye unamuamini sana ndiye anaweza kukufanyia...

READ MORE

Ufahamu Mchezo huu wa Kasino Unaolipa kuliko yote..

Moja kati ya vitu vyenye thamani kubwa duniani kwa rasilimali za asili ukiachana na mafuta kuna hii kitu inaitwa dhahabu,...

READ MORE

Mashabiki wa Simba na Yanga, Nyaishozi Mkoani Kagera Wapiga Bonge la Dabi Kumaliza Ubishi

Afisa Tarafa wa Tarafa ya Nyaishozi Wilayani Karagwe mkoa wa Kagera, Kelvin Berege ameratibu ‘dabi’ ya mashabiki wa Simba na...

READ MORE