×

Habari

Shigongo: Tupo Tayari Kupambana Na Yeyote Atakayejaribu Kupotosha Maendeleo Ya Buchosa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema hawatamvumilia mtu yeyote ambaye anapotosha kuhusu maendeleo yaliyopatikana chini ya serikali ya Rais Samia...

READ MORE

Wafungwa naMahabusu Kusikiliza Kesi Kwa Mahakama Mtandao Ni Kwa Sababu za Kiusalama

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania...

READ MORE

NMB Yadhamini na Kushiriki Kilele cha Maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Singida

Benki ya NMB imedhihirisha tena nafasi yake kama Mwajiri Kinara nchini kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku...

READ MORE

NBC Yashiriki Maadhimisho Mei Mosi Singida, Yasisitiza Dhamira Yake Kuwafikia Wafanyakazi Zaidi

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na mamilioni ya wafanyakazi kote nchini na duniani kwa ujumla kusherekea Maadhimisho ya...

READ MORE

Padri Dkt. Charles Kitima Adaiwa Kushambuliwa Nyumbani Kwake

Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt. Charles Kitima ameripotiwa na Vyanzo mbalimbali vya...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Aridhishwa na Maandalizi ya Mei Mosi Kitaifa Singida

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na Maandalizi kuelekea sherehe za siku ya wafanyakazi duniani zitakazofanyika kesho Mei mosi, 2025...

READ MORE

Mwinyi: Smz Kuviondoa Vikwazo Vinavyokwamisha Uendeshaji Wa Biashara

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi Serikali kuviondoa Vikwazo vyote vinavyochangia Kukwamisha...

READ MORE

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Shigongo Anashirikiana Vyema na Rais Samia Kuleta Maendeleo Buchosa – Video

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ally Kawaida amesema Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo anamsaidia Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha...

READ MORE

Mapya! Sakata La Mwijaku Na Wanafunzi Wa Chuo, Penzi La Diamond Na Zuchu -Video

Imelda Mtema, mtangazaji wa Global TV, ni miongoni mwa waandishi wa habari ambao wamedumu kwenye urafiki na mastaa wa tasnia...

READ MORE

Meridianbet Yakupa Nafasi Ya Kishua – Shinda Simu Mpya Ya Samsung A25!

Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake kile wanachokihitaji — BURUDANI na ZAWADI za ukweli! Kupitia promosheni yao mpya, sasa unaweza kujishindia...

READ MORE

Makardinali 133 Kushiriki Uchaguzi Wa Kumchagua Papa Mpya Mei 07, 2025

Maandalizi ya mkutano wa uchaguzi wa Papa mpya unaotarajiwa kuanza Mei 07, 2025, Baraza la Makardinali limetangaza kuwa Makardinali wote...

READ MORE

Wizara ya Katiba na Sheria Yakamilisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria Katika Mikoa 25 – Video

Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dkt. Damas Ndumbaro, ameeleza kuwa wizara yake inaendelea na uratibu na utekelezaji wa...

READ MORE

Benki ya CRDB Yaibuka Kidedea Maonesho ya Kitaifa ya OSHA 2025

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Benki ya CRDB kwa...

READ MORE

Niliota na Majini Kila Usiku Mpaka Nikaogopa Kulala, Kilichoniokoa Kimewashangaza Wengi

Kila usiku nilikuwa na hofu. Niliozidi kulala na mapambano ya kiakili. Kila nilipolala, niliona jini likinifuatilia. Hii haikuwa ndoto tu,...

READ MORE

Ubunifu kwa Maendeleo: Tanzania Yajipanga kwa Ajili ya Mkutano wa Future Ready na Wiki ya Ubunifu Tanzania 2025

Ubunifu unachukua nafasi ya kipekee mwezi Mei wakati Tanzania ikijiandaa kwa ajili ya Wiki ya Ubunifu Tanzania maarufu kama ‘Innovation...

READ MORE

Fahamu Papa mpya anavyochaguliwa na Makadinali Vatikani Roma

Kitamaduni Mapapa huchaguliwa na makasisi wakuu wanaoitwa Makadinali kupitia mchakato wa uchaguzi wa siri ulioanzia karne nyingi nyuma. Papa mpya...

READ MORE

Yas Yazindua Mnara wa Mawasiliano wa 5G Kinyerezi

Kampuni ya mawasiliano ya YAS imezindua rasmi mnara wa mawasiliano wa teknolojia ya 5G katika eneo la Kinyerezi – Zimbili,...

READ MORE

Makalla: Tuwakatae Viongozi Wenye Lengo la Kuvuruga Amani

•Awataka watanzania Wasimame na Dr samia Suluhu DAR ES SALAAM: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino...

READ MORE

Putin: Nitamlinda Ibrahim Traoré dhidi ya Marekani na Ufaransa

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ametoa kauli kali ya kuunga mkono uongozi wa Rais Ibrahim Traoré wa Burkina Faso, akipinga...

READ MORE

Tanzania Kuandaa Sera Maalum ya Akili Mnemba kwa Vyombo vya Habari

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha...

READ MORE

Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Walusanga Ndaki Afariki

Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Walusanga Ndaki amefariki dunia. Taarifa kutoka kwa familia yake, zinaeleza kuwa Walusanga alifikwa na...

READ MORE

Aingizwa Mjini Kwa Kuuziwa Mawe Akiaminishwa Kuwa ni Dhahabu

Naitwa Ally kutokea Mombasa, niko hapa kusimulia kwa uwazi masaibu yangu ya hivi majuzi na jinsi nilivyofanikiwa kuyashinda baada ya...

READ MORE

TRA Yatangaza Matokeo ya Usaili wa Kuandika 2025, Yapo Hapa

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifa wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika Machi 30, 2025 katika vituo tisa vilivyokuwa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Alivyozindua Banki Ya Ushirika Tanzania Jijini Dodoma (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Banki ya Ushirika Tanzania Ukumbi wa Jakaya Kikwete...

READ MORE

WCF Yapongezwa Kwa Kujumuisha Wafanyakazi Wenye Mahitaji Maalumu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, ametembelea banda la Mfuko wa...

READ MORE

NMB Yatambuliwa Kwa Ubora Tuzo za OSHA 2025

Benki ya NMB imetunukiwa tuzo tano muhimu kutoka Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) katika Maadhimisho ya...

READ MORE

Kesi ya Tundu Lissu Yasogezwa Mbele, Mwanasheria Mkuu wa Chadema Azungumza

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam nikwamba Mei 6, 2025 inatarajia kutoa uamuzi wa hoja ikiwemo mapingamizi...

READ MORE

Tanzania ni Nchi Huru, Salama Hatuna Mgogoro wa Kisiasa

•Chini ya uongozi wa Rais Samia nchi imetulia DAR ES SALAAM: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka watanzania kusimama na Rais...

READ MORE

Jk Ashiriki Kutoa Mafunzo Chuo Kikuu Cha Havard Huko Boston Kwa Mawaziri Wa Nchi Zinazoendelea

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete yuko mjini Boston, Marekani, ambako anashiriki katika kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa Fedha...

READ MORE

Nkane Afurahia Nafasi Yake Yanga Na Kufunga Bao Katika Muungano Cup

KIUNGO wa Yanga, Dennis Nkane ameweka wazi kuwa aliambiwa na kiungo mshambuliaji Maxi Nzengeli kwamba atapata nafasi kwenye mechi za...

READ MORE

Mtoni Queens na Sabasaba Queens Zafurahia Ujio wa Meridianbet

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet leo hii tarehe 28 imeendelea na juhudi zake za kuisaidia jamii ambapo safari hii...

READ MORE

Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Uwekwaji Wakfu Askofu Mteule Jimbo La Iringa

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili...

READ MORE

Saifee Yaandaa Marathon Kuongeza Uelewa Kuhusu Magonjwa ya Moyo

KATIKA jitihada madhubuti za kuhamasisha afya ya moyo na kuongeza uelewa kuhusu magoniwa ya moyo na mishipa, Hospitali ya Saifee...

READ MORE

Mwanangu Aliendelea Kufeli Shuleni Mpaka Nilipogundua Kilichokuwa Kinamzuia Kiroho

Kila mzazi anatamani kuona mtoto wake akifanikiwa shuleni. Nami sikuwa tofauti. Mwanangu, Brian, alikuwa na akili nzuri sana tangu akiwa...

READ MORE

Mwananchi wa Buchosa Atibiwa Baada ya Miaka 8 Kupitia Msaada wa Mbunge – Video

Sikiliza ushuhuda wa Mbanguji Paul kutoka Buchosa, ambaye kwa takribani miaka 8 aliteseka na tatizo la jicho. Kupitia msaada wa...

READ MORE

Maonesho ya Kitaifa ya Utamaduni na Sanaa Yanoga Mnazi Mmoja, Dar

Dar es Salaam, 27 Aprili 2025: Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania ulio chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Ufuatiliaji Wa Watendaji Wa Vyama Vya Ushirika

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iimarishe na kufanya ufuatiliaji wa Watendaji wa Vyama vya Ushirika ili wazingatie...

READ MORE

Rais Samia Aweka Hadharani Barua ya Mwisho ya Papa Francis kwa Watanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 27, 2025, ameweka hadharani ujumbe wa baraka...

READ MORE

Serikali Yapambana Kudhibiti Mafuriko na Kuimarisha SGR kwa Mabwawa

Dodoma: Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Raymond Mndolwa amesema kuwa kasi ya Rais Dkt. Samia Suluhu...

READ MORE